262. WADUDIMILA HIBAMBASI

Imbuki ya lusumo lunulo ilolile ndimi o mitugo. Undimi ng’wunuyo agajichilulaga imitugo jinijo ogatuula hibala ilya nduhu amaswa. Ahenaho ilihang’wape guti hibambasi. Imitugo jinijo jigashogaka kaya jidigutile, kunguno jadimilagwa hibambasi. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga undimi ng’wunuyo giki, ojidimilaga hibambasi. Munho ojishoshaga kaya imitugo jinijo jidigutule.

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kubhanhu abho bhagazugilagwa jiliwa bhalya aliyo bhakija ugwiguta. Unzugi obho agikolaga nu ndimi uomitugo uyo ojidimilaga hibambasi jukija ugwiguta. Hunagwene abhanhu bhenabho abho bhakijaga ugwiguta ijiliwa, bhagang’wilaga unzugi obho giki, ‘wadudimila hibambasi.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gubhagola chiza abhanhu bhabho. Ubhugoji bhunubho bhulikihamo na gub’inha jiliwa ja gubhatosha abhanhu bhabho, na gub’inha malezi gagubhatosha abhana bhabho gub’iza na kikalile kawiza umuwikaji bhobho.

Yohana 10:11-13.

Ezekiel 34:1-2.

KISWAHILI: UMETUCHUNGIA KWENYE BAMBASI

Chanzo cha methali hiyo chaangalia mchungaji wa mifugo. Mchungaji huyo huwachungia mifugo wake kwenye eneo jeupe, yaani, lisilo na majani. Hapo ni peusi kama kwenye bambasi au sehemu isiyoota nyasi. Mifugo hao hurudi nyumbani bila kushiba kwa sababu wamechungiwa kwenye bambasi. Ndiyo maana watu husema kwamba, amewachungia kwenye bambasi. Maana yake mifugo hao hawajashiba.

Methali hiyo hulinganishwa kwa watu wale ambao huwapikia chakula kisichowatosha watu wao. Hao ni watu wasiowapatia watu wao mahitaji ya kutosha kuwawezesha kuishi inavyotakia. Watu hao hufanana na mchungaji wa mifugo awachungiaye mifugo wake kwenye bambasi wakashindwa kushiba. Ndiyo maana watu hao, ambao hawajashiba chakula, humwambia mpishi wao kwamba, ‘umetuchungia kwenye bambasi.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuwatunza vizuri watu wao, wakiwemo wafanyakazi na watoto wao. Matunzo hayo yatawasaidia wafanya kazi wao katika kupata haki zao vizuri, na watoto wao kupata malezi yawezayo kuwajengea tabia njema maishani mwao.

Yohana 10:11-13.

Ezekiel 34:1-2.

burkina-children

 

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.