251. MONGO GO MUSHING’ONGWA GUDUPULA MUNHU.

Imbuki ya lusumo lunulo ilolile mongo. Umongo ugoguchala munhu gugab’izaga ntale. Igelelilwe gugogoha b’o guleka ugugukila. Bhanhu b’ayomba, ‘ubhugota bho mongo gushoka.’ Gunguno ugunuyo gugabhulagaga bhanhu. Aliyo lulu umongo ulu guligugehu gudadulile kuchala munhu. Ugunuyo hu mongo ugomujing’ongwa. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘Mongo go mushing’ongwa gudupula munhu.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agogohaga mhayo gudololo uyo gudadulile nulu gutungisha munhu. Umunhu ng’unuyo agabhigazaga adina wiyab’i umukikalile kakwe. Alina bhob’a bhutale ubho guyomba nulu gwita mhayo gosegose uyo gudulile gung’wambilija uguyib’eja chiza ikaya yakwe. Hunagwene abhanhu b’agang’wilaga giki, ‘‘Mongo go mushing’ongwa gudupula munhu.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu  ghub’iza na bhumani b’o gulenganija mihayo na guideb’a iyagutumamila haho b’atali ugukeleja. Ubhumani bhunubho bhugubhambilija abhanhu bhenabho ijinaguitumama wangu imilimo iyo idulile gujambilija chiza ikaya jabho.

KISWAHILI: MTO UNAOISHIA KWENYE VIFUNDO VYA MIGUU HAUSOMBI MTU.

Chanzo cha methali hii chaangalia mto. Mto wa kumsomba mtu huwa mkubwa. Yafaa kuuogopa mto kama huo kwa kuacha kuuvuka, kwa vile watu husema, ‘dawa ya mto ni kurudi.’ Hii ni kwa sababu mto huo huua watu wauvukao. Hata hivyo, mto ukiwa mdogo hauwezi kumsomba mtu. Huo ndio mto wa kufikia miguuni tu. Ndiyo maana watu husema, ‘mto wa miguuni haupeleki mtu.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu yule aogopaye jambo au neno dogo ambalo haliwezi kumsababishia kufungwa gerezani. Mtu huyo huwa hana uhuru wa kufanya kazi ziletazo maendeleo maishani mwake. Ana uoga mkubwa wa kuongea au kutekeleza jambo lolote lile litakiwalo kutekelezwa naye. Ndiyo maana watu humwambia kuwa, ‘mto wa kwenye vifundo vya miguu hausombi mtu.’

Methali hiyo hufundisha watu  kuwa na uelewa wa kupima mambo na kuyaelewa mapema yale yatakiwayo kuyatekelezwa kwa haraka kabla hawajachelewa. Uelewa huo utawasaidia katika kuyatekeleza mapema malengo ya kazi zile ziwezazo kuwasaidia wao na familia zao kwa muda mwafaka.

(Luka 13:2-5).

 

waters river

ENGLISH: AN ANKLE-DEEP RIVER DOES NOT DROWN A PERSON.

The origin of this proverb is a river. For the river to drown someone, it has to be relatively deep. It is better to be cautious of such a river; if not necessary, one should avoid crossing it. As people say, ‘the best solution to a flooded river is to avoid crossing it.’ This is because flooded rivers usually drown crossing people. However, when a river is shallow, it can probable not drown anyone. That shallow river is similar to the anke-deep river. That is why people say, ‘An ankle-deep river does not drown a person.’

The proverb is used for encouraging people who are always scared ofsmall things or issues that cannot lead to their imprisonment. Such people are not free to work for their personal achievement in life. They are very timid to say or do anything that they have to do. That is why people encourage them by saying, ‘ An ankle-deep river does not drown a person.’

The proverb teaches people to have a sense of measuring things and to understand in advance what needs to be done quickly before it is too late. This understanding would help them in early pursuit of their career goals that will help them and their families in a timely manner.

(Luke 13: 2-5).

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.