250. ILONDA LYA NG’HAB’I LIGAPIJIWAGWA LUME.

Imbuki ya kahayile kenako ilolile ilondo lya ng’wa munhu uyo aling’hab’i uogub’iza na makoye mingi umuwikaji bhokwe.  Umunhu ng’wunuyo nulu agiminya bho gwigumha, agajaga luhu ukumilimo yake kunguno ya makoye gakwe. Adalekaga uguja ugujuchola ija gulwa, nose ililonda linilo ligapijiyagwa lume. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘ilonda lya ng’hab’i ligapijiwagwa lume.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kubhanhu abho bhadadililaga bhasadu bhabho bho gub’achala gusibitali. Isada ja bhanhu bhenabho jigalekanijiyagwa mpaga nulu jipilila joyi duhu. Kuniyo lulu, abhanhu bhenabho bhagikolaga nu munhu ung’hab’i uyo wigumhaga upandika lilonga ilo ligapijiyagwa lume. Uwei agamanaga uja duhu ukumilimo yakwe kunguno ya makoye ayo alinago. Hunagwene, abhanhu bhagayombaga giki, ‘Ilonga lya ng’hab’bi ligapijiwagwa lume.’

Akahayile kaneko kalanga bhanhu  gudilila bhasadu bhabho bho gubhambilija ugubhachala ugusibhitali kugiki bhadule gupila wangu. Ubhudiliji bhunubho bhugubhambilija bhasadu bhingi ijinagupila wangu na gwendelea na milimo yabho.

(Mathayo 5:3).

KISWAHILI: KIDONDA CHA MASKINI HUPONYWA NA UMANDE.

Chanzo cha msemo huo chaangalia kidonda cha mtu ambaye ni maskini. Mtu huyo hukumbwa na matatizo mengi maishani mwake. Kutokana na hali hiyo, hulazimika kwenda kufanya kazi hata kama amejikwaa akapata kidonda. Huwa haachi kwenda kazini, mwishowe kidonda chake hicho hupona chenyewe. Ndiyo maana, watu husema kwamba, ‘kidonda cha maskini huponywa na umande.’

Msemo huo hulinganishwa kwa watu wasiowajali wagonjwa wao kwa kuwapeleka hospitalini kwa ajili ya kupata matibabu ili waweze kupona haraka. Magonjwa ya watu hao huachwa bila msaada wa kuyaponya upesi. Kwa namna hiyo, wagonjwa hao hufanana na mtu ambaye ni maskini aliyepata kidonda kwa kujikwaa, ambacho huponyeshwa na umande aukanyagao kila asubuhi aendepo kazini, kwa sababu ya matatizo yake. Ndiyo maana watu husema, ‘kidonda cha maskini huponywa na umande.’

Msemo huo hufundisha watu  kuwa na moyo wa kujali wagonjwa wao kwa kuwapeleka hospitalini ili waweze kupata matibabu ya kuwawezesha kupona haraka. Moyo huo wa kujali, utawasaidia wagonjwa wao kupona haraka na kuwawezesha kuendelea kufanya kazi kwa ajili ya kujiletea maendeleo.

Mathayo 5:3.

 

 

women

ENGLISH: A POOR PERSON’S WOUND IS HEALED BY DEW.

The origin of this saying is a wound of a poor person. Such a person experiences many problems in life. As a result, he/she has to go to work even if he/she has stambled, injured himself/herself and got a wound. He/she never misses going to work. In the end, the wound will heal itself. That is why, people say, ‘a poor person’s wound is healed by dew.’

The saying is used to draw attention of people who do not care for their sick persons by taking them to the hospital for treatment so they can recover faster. The diseases of those people are left without help for quick healing.

Such sick persons are like poor persons who suffer from stamble wounds, which are healed by dew that he tramples every morning on his way to work, because of his problems. That is why people say, ‘A poor persons wound is healed by the dew.’

The saying teaches people about being kind-hearted and about taking care of their sick persons by taking them to hospital so they can get treatment for speedy recovery. This caring attitude will help the sick persons recover quickly and continue working for their own development.

(Matthew 5: 3).

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.