249. MGOGOHAGA MIDIMU GINEHE, IGUTUMAMWA NA NANI!

Imbuki ya kahayile kenako ilolile milimo iyo ilimidimu, aliyo lulu igenhaga matwajo mingi ukubhanhu abho bhagayitumamaga chiza. Abho bhagiyogohaga imilimo yiniyo bhagapandikaga makoye umumakaya gabho. Ijinagupandika maendeleo igelelilwe imilimo yiniyo imidimu itumamwe na bhanhu. Hunagwene abhanhu bhagakayombaga akahayile kenako ukubhob’a bha milimo giki, ‘mgogohaga midimu ginehe, igutumamwa na nani!’ (liso lyoha uzidukangwa isakisaki).

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kubhanhu abho bhali bhob’a bha guitumama imilimo imidimu. Amizo gabho gali mob’a abhanhu bhenabho. Bhagab’izaga bhayigegelile imimili yabho. Kunguno yiniyo bhadajibhejaga chiza ikaya jabho. Jigikalaga nikoye lya bhugayiwa bho jiliwa bhuli ng’waka. Abhanhu abho bhalibihi nabho, bhagabhakomelejaga guitumama ni milimo yiniyo imidimu bhoguyomba giki, ‘mgogohaga midimu ginehe, igutumamwa na nani!’

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya kuleka b’ob’a bho guitumama imilimo imidimu, kunguno imilimo yiniyo idulile gub’ingija makoye umukaya jabho. Yigelelilwe abhanhu bhenabho b’aitumame imilimo yiniyo bho gwiyumilija mpala bhayimale chiza kugiki bhadule kupandika maendeleo wangu wangu umukaya jabho.

KISWAHILI: MNAOGOPA MAGUMU YATAFANYWA NA NANI!

Chanzo cha msemo huo chaangalia kazi zilizongumu lakini huleta mafanikio mengi kwa watu wale wazifanyao vizuri. Pamoja na hayo, wengine huziogopa kazi hizo. Tabia hiyo hupelekea kwa baadhi yao hupata matatizo kwenye familia zao. Hata hivyo katika kupata maendeleo ya haraka kazi hizo ngumu yafaa zifanywe na watu wapendao maendeleo. Ndiyo maana watu huusema msemo huo kwa wale waogopao kazi ngumu, kwamba, ‘mnaogopa magumu yatafanywa na nani!’

Msemo huo hulinganishwa kwa watu wale waliowaoga wa kufanya kazi ngumu. Macho yao ni maoga ya kazi hizo ngumu. Watu hao huidekeza miili yao ndiyo maana hawazijengi vizuri familia zao. Hali hiyo hupelekea kwa familia hizo kusumbuliwa na matatizo ya kukosa chakula kila mwaka. Hivyo kutokana na hali hiyo, watu waliojirani nao huwahimiza kuzifanya kazi hizo kwa kutumia msemo huu kwamba, ‘‘mnaogopa magumu yatafanywa na nani!”

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuacha woga wa kuzifanya kazi zilizo ngumu kwa sababu kazi hizo, zaweza kuwaondolea matatizo kwenye familia zao. Yafaa watu hao, wazifanya kazi hizo kwa uvumilivu mpaka wazimalize vizuri ili waweze kupata maendeleo kwa haraka kwenye familia zao.

Msemo huo huwafundisha watu liowaoga wa kazi ngumu kujitegemea kwa kuzifanya kazi hizo kwa uvumilivu, (jicho lioga usiogepe washawasha).

1 Petro 3:14.

Mathayo 10:28.

person

wiring-hardness

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.