248. TULO YA NG’HONDI YA GUMISIJA NG’HOME

Imbuki ya lusumo lunulo ilolile ng’holo ng’osha iyo igitanagwa ng’hondi. Ing’hondi yiniyo igoleshaga kajile ka ng’holo ijo jili njungi noyi. Aho jugima guja na jagimaga mpapa ujegele haho nujitule najigwe. Jigab’izaga guti jilalile tulo iyo iliyagumisijiwa bho gutulwa ng’home. Hunagwene abhanhu bhayombaga giki, ‘tulo ya ng’hondi yagumisija ng’home.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kubhanhu abho bhali na bhulendelezu bho guduma nulu uguitumama imilimo yabho. Abhanhu bhenabho gagab’ashililaga amakanza agamilimo guti gulima, nulu guja kuhofisi jabho, bhiyib’ile. Akajile kenako kagenhaga makoye gagugayiwa nulu jiliwa ahakaya jabho. Abhanhu bhenabho bhagiyenhelejaga gupejiwa imilimo yabho kunguno, ya bhudito bho guitumama imilimo yabho. Amakoye genayo gikolile na ng’hondi ilalile iyo iliyagutulwa ng’home nayudula ugumisha. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘tulo ya ng’hondi yagumisija ng’home.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gub’iza na bhukamu bho gutumama milimo yabho, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi umuwikaji b’ob’o. Ubhukamu bhunubho bhugub’ambilija ijinagwendelea chiza ni milimo yabho.

KISWAHILI: USINGIZI WA KONDOO DUME WA KUAMSHIA RUNGU.

Chanzo cha methali hiyo chaangalia kondoo dume. Kondoo huyo huonesha mwenendo wa kondoo waliowatembeaji sana. Wakizoea kwenda sehemu fulani, huwa hawatoki pale mpaka mtu awaendee na kuwapiga rungu ndipo waondoke pale. Kondoo hao huwa kama wamelala usingizi wa kuamushiwa rungu. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘usingizi wa kondoo dume wa kuamshia rungu.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa watu wenye upole wa kushindwa hata kufanya kazi zao. Watu hao hujikuta muda wa kufanya kazi, zikiwemo zile za kilimo na zile za maofisini, umeisha. Mwenendo huo huwaletea matatizo yakiwemo yale ya kukosa chakula kwenye familia zao, na wengine hata kufukuzwa kazi na waajiri wao. Matatizo hayo, hufanana na kondoo dume kupigwa rungu ndipo aondoke anapotakiwa kutoka. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘usingizi wa kondoo dume wa kuamshia rungu.’

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuwa na bidii ya kufanya kazi zao ili waweze kujipatia mafanikio mengi maishani mwao. Bidii hiyo itawasaidia katika kuendelea vizuri na kazi zao ambazo ni muhimu katika kuwaletea maendeleo kwenye familia zao.

Uf. 5:6.

Mithali 6:9-10.

Yh. 1:29.

ram sleeping

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.