252. WAPYA NKILA ATIZUKA YA KUNUMA

Imbuki ya usulumo lunulo ilolile mva. Imva igikalaga bihi na moto. Unkila goyo ulu gupya moto igapelaga nhambo bho nduhu ugulab’ula ukunuma. Kuyiniyo lulu, indimu yiniyo igab’izaga idamanile umo goligupwililile unkila goyo, na hangi idizukaga umo yaliyapwilila. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘wapya nkila adizuka ya kunuma.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo walina makoye aha shigu ijanuma uyo adikalaga na wizuki bho makoye genayo. Umunhu ng’wunuyo adikagaga na wizuki ubho makoye aganuma kunguno ya b’upandiki bho jikolo ijo alinajo ihaha.

Aliyo aho olinamakoye wikalaga agulombaga wambilijiwa bho kufuma kubhanhu b’angi, aliyo aho gashila amakoye genayo, oya ugub’izuka abhanhu abho bha ng’wambilija ugwinga umumakoye genayo. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘wapya nkila adizuka ya kunuma.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gub’iza na bhulumbi ukubhanhu abho bhabhambilija ugwinga umumakoye ayo bhalinago aha shigu ijanuma. Ubhub’umbi bhunubho b’ugub’ambilija ugwikala chiza na bhichabho umukikalile kabho. Hangi bhagudula gubhinja na bhangi umumakoye guti genayo, kunguno bhagadeb’ile amakoye genayo, ni nzila ijagugingija bhajimanile.

KISWAHILI: AMEUNGUA MKIA HATAKUMBUKA YA NYUMA

Chanzo cha methali hiyo chaangalia mbwa. Mbwa huwa karibu na moto. Mkia wake ukiungua moto mwenyewe hukimbia mbio bila kuangalia nyuma. Kwa hiyo, myama huyo huwa hajui uliuvyoungua mkila wake huo, na tena hakumbuki namna alivyoungua. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘ameungua mkia hatakumkuka ya nyuma.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu aliyekuwa na matatizo kwenye siku za nyuma ambaye huwa hayakumbuki matatizo hayo kwa sasa. Mtu huyo hawi na kumbukumbu ya matatizo ya nyuma kwa sababu ya mafanikio yake ya sasa.

Lakini alipokuwa na matatizo alikuwa akiomba msaada wa kusaidiwa kutoka kwa watu wengine ili aondokane na matatizo hayo. Baada ya kufanikiwa ombi lake hiyo, hawakumbuki hata wale waliomsaidia kuondokana na matatizo hayo. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘‘ameungua mkia hatakumkuka ya nyuma.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuwa na shukrani kwa watu waliowasaidia kuondokana na matatizo yaliyokuwa yakiwasumbua siku za nyuma. Shukrani hiyo itawasaidia katika kuishi vizuri na wenzao maishani mwao. Zaidi ya hayo, watu hao wataweza pia kutoa msaada wa kuwandoa wengine walioko kwenye matatizo kama hayo kwa sababu wanazielewe njia za kuondokana na matatizo kama hayo.

Luka 9:62.

Luka 16:24.

dog1

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.