Folklore

488. OBYAJA GWASHI.

Imbuki ya kahayile kenako, yililola bhubyaja bho ginhu ijo jalijidiganikilagwa gwigela. Ubhubyaja bhunubho, bhulibho gubhagwisha ng’holo abhanhu abhangi, kunguno bhalibhadasendamilile uguibhona iyo yabyajiagwa yiniyo. Hunagwene, abhanhu bhagang’wilaga umunhu ng’wunuyo, giki, ‘obyaja gwashi.’

Akahahile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo otumagwa mhayo nhebhe, uyo agashigaga koyi obyajaga mhano gungi. Umunhu ng’wunuyo, ulu ogashiga uko otumagwa agayombaga heke duhu.

Uweyi agalenganijiyagwa nu munhu uyo obyajaga mihayo yakwe iyo bhalibhadiyiiganikilaga abhanhu abho bhantumaga, kunguno nanghwe agagugaluchaga umhayo uyo otumagwa guguchala hanhu. Hunagwene abhanhu, bhagang’wilaga giki, ‘obyaja gwashi.’

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza bhanhu bhanghana umukikalile kabho, kugiki bhadule uguishisha chiza imihayo iyo bhatung’wa kuichala kubhichabho. Yigelelilwe abhanhu bhenabho, bhayishishe jinabhunghana, imihayo iyo bhatung’wa guichala, bhadizuyigalucha.

Matendo ya mitume 5:1-5.

Yohane 8:31-32.

Mathayo 5:37.

KISWAHILI: UMEZALISHA MENGINE

Chanzo cha msemo huo, chaangalia uundaji wa kitu ambacho hakikutegemewa kutokea au kuonekana. Uundaji huo, huwakatisha tamaa watu wengine, kwa sababu hawakutegemea kuyaona hayo yaliyozalishwa. Ndiyo maana watu hao humwambia mtu huyo kwamba, ‘umezalisha mengine.’

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ametumwa neno fulani, aliyefika kule alikotumwa, akatunga neno jingine, badala ya lile alilotumwa kulifikisha. Mtu huyo, alipofika alikotakiwa kuufikisha ujumbe huo, alisema tofauti na alivyotumwa.

Yeye hulinganishwa na mtu yule aliyezaliwa la kwake ambalo watu hawakutegemea kulisikia, kwa sababu naye alibadilisha neno alilotumwa kulipeleka, akasema tofauti. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, ‘umezalisha mengine.’

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa wakweli katika maisha yao, ili waweze kuufikisha vizuri ujumbe wa kuishi kwa amani na wenzao, katika maisha yao. Yafaa, watu hao wawe wajumbe wa kuufikisha ukweli kwa wenzao, wanaoishi nao.

Matendo ya mitume 5:1-5.

Yohane 8:31-32.

Mathayo 5:37.

black-man

simu

ENGLISH: YOU HAVE PRODUCED ANOTHER ONE.

The origin of the saying looks at the creation of something that was not expected to happen or to be seen. The coming up of a new information, not the one intended, can discourage people who had a different expectation. This is why can describe this scenario using the saying that ‘you have produced another one.’

The saying can be compared to a person, to whom the word was sent, who arrived at the dispatch area and composed a different information instead of the one sent to convey. When he/she comes back to report, he/she comes with a quite different feedback that upsets those who sent him/her.

The saying teaches people about being truthful in their lives so that they can effectively convey the message as intended. This can help people to have peace of mind and be trusted.

Acts 5: 1-5.

John 8: 31-32.

Matthew 5:37.

487. KALAGU – KIZE. ANE ANE MPAGA TANGA: – MADANDALI GA MUNDUKA.

Imbuki ya kalagu yiniyo, ililola munduka iyo igikalaga na madandali ane. Imunduka yiniyo, idulile gupejiwa mpaga yushiga kule wikanza iguhi, kunguno ya wiyambilija bho madandali gayo, ayane geneyo.

Kuyiniyo lulu, ijisumva ijo jilina magulu ane, jigasiminzaga wangu wangu, nulu jidulile gupela wangu wangu mpaga jusegenela bho likanza liguhi. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘ane ane mpaga Tanga:- madandali ga munduka.’

Ikalagau yiniyo, igalenganijiyagwa ku bhanhu abho bhagiyambilija kihamo na bhichabho, umukikalile kabho. Abhanhu bhenabho, bhadebhile ugutumama kihamo na bhichabho, gitu umo gagiyambiligijaga amadandali ayane aga munduka genayo.

Abhanhu bhenabho, bhali jigemelo ja gwikala kihamo bho gwiyambilija, umubhutumami bho milimo yabho. Umukikalile kabho kenako, bhagabhalangaga nabhichabho, ahigulya ya gubhiza halumo ijinaguitumama bho wiyambilija imilimo yabho. Hunagwene abhanhu bhenabho bhagayombaga giki, ‘ane ane mpaga Tanga:- madandali ga munduka.’

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya guitumama imilimo yabho halumo bho gwiyambilija, kugiki bhadule guimala wangu na kupandika matwazo mingi, umuwikaji bhobho.

Uwiyambilija bhunubho, bhudulile gubhinha nguzu ja kunondela Yesu bho bhukamu bhutale, ubho wikomile gubhashisha mpaga ng’wigulu.

Yahane 14:11-14.

Yohane 14:25-26.

Yohane 15:1-5.

2Wafalme 2:11-12.

Matendo ya mitume 4:32-37.

KISWAHILI: KITENDAWILI   –  TEGA.

NNE NNE MPAKA TANGA:- MAGURUDUMU YA GARI.

Chanzo cha kitendawili hicho, chaangalia gari yenye magurudumu manne. Gari hilo, laweza kuendeshwa mpaka likafika mbali, kwa muda mfupi, kwa sababu ya kusaidiana kwa magurudumu hayo manne.

Kwa hiyo, viumbe vyenye miguu mine, hutembea kwa haraka hata vinaweza kukimbia kwa haraka mpaka vikafika mbali kwa muda mfupi. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘nne nne mpaka Tanga:- magurudumu ya gari.’

Kitendawili hicho, chalinganishwa kwa watu wale wanafahanya kazi zao kwa kusaidiana, maishani mwao. Watu hao, wanaelewa namna ya kuyatekeleza majukumu yao, kwa kusaidiana katika kumoja wao, kama yanavyosaidiana yale magurudumu manne mpaka yanafaulu kulifikisha mbali kwa muda mfupi gari hilo.

Watu hao, ni mfano wa kuigwa katika kuuishi umoja wa kusaidiana katika utekelezaji wa majukumu yao. Maisha yao, huwafundisha wenzao juu ya kuwa na umoja unaowawezesha watu kusaidiana katika kufanya kazi zao. Ndiyo maana watu hao husema kwamba, ‘nne nne mpaka Tanga:- magurudumu ya gari.’

Kitendawili hicho, chafundisha watu juu ya kuzifanya kazi zao katika umoja wa kusaidiana, ili waweze kuzimaliza mapema na kupata mafanikio mengi zaidi, maishani mwao.

Umoja huo, utawasaidia hata katika kumwamini Yesu na kumfuata hadi kumfikia Yeye mbinguni.

Yahane 14:11-14.

Yohane 14:25-26.

Yohane 15:1-5.

2Wafalme 2:11-12.

Matendo ya mitume 4:32-37.

chevrolet

jaguar

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.

FOUR FOUR UP TO TANGA- CAR WHEELS.

The source of this riddle is the car and its tyres. The car can be driven for a long distance with the help of its tyres. This four-legged creature can move very fast to the extent of covering a very long distance within a very short period of time. To describe how the car is assisted by its tyres to reach such long distances people tend to use the riddle that ‘four four up to Tanga’ where Tanga is used as a measure of distance; the highest distance from where the car set off the journey.

This riddle can be compared to those people who do their works in collaboration with others. These people tend to understand each other on how to carry out their duties. They help each other in the same way tyres work until they reach their desired goals. Such people can be described as role models for others.

This riddle teaches people about doing their jobs in collaboration. This can help people to finish their works within a short time. In so doing, they will be making their families to have good and peaceful life. This unity can also help them to know how Jesus works in human minds. They can work together in ensuring that they follow Him to heaven after death.

John 14: 11-14.

John 14: 25-26.

John 15: 1-5.

2Kings 2: 11-12.

Acts 4: 32-37.

486. KALAGU – KIZE. NTI GONE GULI NA MATAMBI MPUNGATI; AYANE MADOTO, AYABHILI, MOMU, ILIMO LISAJI:- NG’OMBE.

Imbuki ya kalagu yiniyo, ililola ndimu iyo ilitanwa Ng’ombe. Ingombe yiniyo, ili na magulu ane, ha matambi amadoto, ayabhili momu, ha mapembe gayo ing’ombe yiniyo. Ilitambi ilimo lisaji, ugwene hunkila goyo, kunguno gukilalaga gulifilinjiwa ukunu nu kunu. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘nti gone guli na matambi mpungati, ayane madoto, ayabhili, momu, ilimo lisaji:- Ng’ombe.’

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu uyo adebhile ugugalekanya chiza amakanza. Umunhu ng’wunuyo, umulikanza lya jidiku amanile igiki isi igikalaga ndoto, agalimaga kunguno lilikaza lya gulima.

Uweyi agisuyaga umulikanza lya chu, kunguno isi igumaga na malima nago gagimaga. Agatumamaga milimo ya gujilanhana chiza ijiliwa ijo ojipandika aho olimaga.

Ilitambi ilisaji, ligikolaga na bhanhu abho bhagajitumamilaga sagara isabho ijo bhagajipandikaga umubhuchoji bhobho. Abhanhu bhenabho, bhagajing’welaga walwa mpaga bhandya guyomba mihayo ya sagala, guti bhanhu bhasaji.

Abhanhu bhenabho, ulu bhuhaya guja gujung’wa walwa, bhagiwilaga giki, bhaje ukubhusaji bhobho. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘nti gone guli na matambi mpungati, ayane madoto, ayabhili, momu, ilimo lisaji:- Ng’ombe.’

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gugatumila chiza amakanza gabho aga milimo, na gujitumila chiza isabho ijo bhalijipandika, umumilimo yabho yiniyo, kugiki, bhadule gujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Mathayo 16:1-4.

Mathayo 24:32-38.

KISWAHILI: KITENDAWILI   –   TEGA

MTI WANGU UNA MATAWI SABA MANNE MABICHI, MAWILI MAKAVU, MOJA KICHAA:- NG’OMBE.

Chanzo cha kitendawili hicho, chaangalia mnyama aitwaye Ng’ombe. Ng’ombe huyo, ana miguu, minne, ndiyo matawi mabichi, yale mawili ambayo ni makavu, ni pembe zake ng’ombe huyo. Lile moja ambalo ni jehu, ni mkia wake, maana huwa hautulii, kwa sababu huwa unachezeshwa chezeshwa tu. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, ‘mti wangu una matawi saba, manne mabichi, mawili makavu, moja kichaa:- ng’ombe.’

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye afahamu kutofautisha vizuri majira mbalimbali ya mwaka. Mtu huyo, hufahamu huutumia wakati wa masika kwa kulima, kwa bidii kubwa, kwa sababu wakati huo, ardhi huwa ni mbichi.

Yeye hupumzika wakati wa kiangazi, kwa sababu wakati huo, ardhi huwa ni ngumu na kavu. Huo ni muda wa kuyakusanya mazao yake vizuri, na kuyahifadhi sehemu ambayo yaweza kuyatunza vizuri.

Tawi jehu huonesha wakati wa kiangazi, ambao baadhi ya watu huyatumia mafanikio ya kilimo chao, au mali zao, kwa kunywea pombe. Baadhi yao hulewa mpaka kufikia hatua ya kuanza kuongea maneno yasiyofaa, kama wehu.

Watu hao, hualikana kwenda kunywa pombe wakielezana kwamba, waende kwenye wehu wao. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, ‘mti wangu una matawi saba, manne mabichi, mawili makavu, moja kichaa:- ng’ombe.’

Kitendawili hicho, chafundisha watu juu ya kuutumia muda wao wa kazi vizuri, na kuyatumia mafanikio ya kazi zao hizo vizuri, ili waweze kuziendeleza vizuri familia zao, maishani mwao.

Mathayo 16:1-4.

Mathayo 24:32-38.

nzagamba1

cow meat

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.

MY TREE HAS SEVEN BRANCHES; FOUR ARE NOT DRY, TWO ARE DRY, ONE IS CRAZY- COW.

The source of this riddle is a cow and its body parts; four legs that help it keep on walking, two horns that are immobile, and a tail that keeps on moving to swip away insects that can tend to attack the cow. Therefore the riddle that ‘my tree has seven branches; four are not dry, two are dry and one is crazy’ communicates how the cow body parts work.

This riddle can be compared to a person who knows how to properly distinguish the different seasons of the year. They can use the spring season for ploughing with great efforts because this is the time when the soil is wet and easy to cultivate. During dry season, they gather their produce from the farm and keep them safely for future use. During summer, people spend what they produced from their farms. They drink local brew to their satisfaction. It is the time where one expects to have extravagance in terms of expenditure.

This riddle teaches people about how to use their time well and make the most of their work so that they can better their families as well as their lives.

Matthew 16: 1-4.

Matthew 24: 32-38.

485. GUCHA GULALA.

Imbuki ya kahayile kenako, yilolile bhuchi na bhulaji, bho ng’wa munhu. Umunhu ulu ucha agabhizaga giti alalile duhu, hichene abhanhu bhagayombaga giko, kunguno ulu ulala bhagikalaga bhamanile igiki agumisha duhu.

Gashinaga lulu, umunhu ulu ucha gugachaga mili duhu, umoyo gokwe gugabhizaga gulimhola, mukikalile kangi. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘gucha gulala.’

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu, uyo amanile igiki bhulihoyi bhupanga bhungi, ulu gucha umili go ng’wa munhu. Umunhu ng’wunuyo, agikomeja gwikala chiza na bhanhu, bho gubhambilija umumakoye abho bhalilomba wambilija bhokwe, kugiki abhutumile chiza uwikaji bhokwe ubho ha welelo henaha.

Umunhu ng’wunuyo, agabhinhaga bhulangwa nabhiye, ubho gwikala chiza na bhanhu, haho bhatale nayo imimili yabho, kugiki bhadule gwingila chiza umubhupanga ubho myoyo yabho, kunguno umoyo gudachaga. Hunagwene uweyi agabhawilaga abhanhu giki, ‘gucha gulala.’

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhutumamila chiza ubhupanga bho mimili yabho, bho gwikala bho mholele na bhanhu, kugiki bhadule gwingila chiza, umubhupanga ubho moyo, ulu yucha imimili yabho.

2Wakorintho 5:4-10.

Waefeso 2:1, 4-6.

KISWAHILI: KUFA KULALA

Chanzo cha msemo huo, chaangalia kufa na kulala kwa mtu. Mtu akifa huwa kama amelala tu, ndiyo maana maana watu husema hivyo, wakiamini uwepo wake kwenye maisha mengine. Kwa maana hiyo, mtu akilala, wao huelewa kwamba ataamuka tu.

Kumbe mtu akifa ni mwili peke yake ambao hufa, roho yake huwa salama kwenye maisha mengine, ambayo huwa inayaanga, baada ya kuachana na mwili. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘kufa kulala.’

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye, anafahamu kwamba, kuna uzima mwingine baada ya mwili wa mtu kufa. Mtu huyo, hufanya bidii ya kuishi na watu vizuri, kwa kuwasaidia wale wanaohitaji msaada wake, ili aweze kuutumia na kuumaliza vizuri muda wa ukaaji wake wa hapa duniani.

Mtu huyo, huwapa mafundisho wenzake ya kuishi vizuri na watu, wakati wakiwa pamoja na miili yao, ili waweze kuingia vizuri kwenye uzima wa mioyo yao, kwa sababu, moyo haufi. Ndiyo maana yeye huwaambia watu kwamba, ‘kufa kulala.’

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuutumia vizuri uzima wa miili yao, kwa kuishi maisha ya amani na wenzao, ili waweze kuingia vizuri kwenye uzima wa roho, baada ya miili yao kufa.

2Wakorintho 5:4-10.

Waefeso 2:1, 4-6.

gulala lufu

gucha gulala

ENGLISH: TO DIE IS TO SLEEP.

The source of the saying is death and sleep. When a person dies, it appears as if he/she is asleep. People believe that there is another life after death. They look at the dead person in the same way they look at a person who sleeps. This is why they describe this scenario using the saying that ‘to die is to sleep.’

In a spiritual world, when a person dies, it is only the body that dies but his/her soul doesn’t die rather it separates with body and goes for another life; eternal life.’

The saying can be compared to a person who realizes that there is another life after death. This person can be forced to work hard to avoid committing sins so that his/her soul can have peace after the death of his/her body. Such people can help to teach others about the need to abide by God’s laws and commandments in order to make them reach heaven.

The saying teaches people how to make good use of life on earth by living a peaceful life with others. In so doing, they are preparing their own heaven while still on earth.

2 Corinthians 5: 4-10.

Ephesians 2: 1, 4-6.

484. KALAGU – KIZE. ADALALAGA BHUJIKU NA LIMI:- LIMI.

Imbuki ya kalagu yiniyo, ililola liginhu ilo lilitanwa limi. Ilimi linilo, lidimaga utima kunguno, pye amakanza ligabhizaga lilitumama duhu. Ilyoyi lidanogaga ugutima kunguno, lyabhejiwa chene.  Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘adalalaga bhujiku na limi:- Limi.’

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu, uyo alina bhukalalwa bho gutumama imilimo yakwe, bho nguvu jakwe pye ijose. Umunhu ng’wunuyo, ogumanilija umili gokwe kutumama milimo yiniyo, bho makanza malilu, kunguno uweyi adanogaga wangu.

Umunhu ng’wunuyo agalenganijiyagwa ni Limi ilo lidanogaga ugutima, kunguno, nang’hwe umunhu ng’wunuyo, adanogaga wangu uguitumama imilimo yakwe yiniyo. Uweyi agabhalangaga nabhiye ahigulya ya guitumama imilimo yabho, bho bhukamu bhutale. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, ‘adalalaga bhujiku na limi:- Limi.’

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gubhiza na bhukalalwa bho guitumama imilimo yabho, bho bhukamu bhutale, kugiki bhadule gupandika, matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

2Wakorintho 4:16-18.

2Wakorintho 5:1-3.

Mathayo 24:35.

KISWAHILI: KITENDAWILI   –  TEGA

HALALI USIKU NA MCHANA:- JUA

Chanzo cha kitendawili hicho, chaangalia kitu kinachoitwa Jua. Jua hilo, halisimami kuangaza, kwa sababu lenyewe hufanya hivyo kwa muda wote. Lenyewe halichoki kumulika, kwa sababu liliumbwa hivyo. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘halali usiku na mchana:- Jua.’

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ni mwenye bidii, na hamu ya kufanya kazi zake kwa nguvu zake zote. Mtu huyo, ameuzoesha mwili wake kufanya kazi hizo kwa muda mrefu, bila kuchoka mapema.

Mtu huyo, hulinganishwa na Jua, ambalo huwa halichoki kumulika, kwa sababu naye pia huwa hachoki mapema kuzitekeleza kazi zake hizo. Yeye huwafundisha pia wenzake, namna ya kuyatekeleza majukumu yao, kwa bidii kubwa. Ndiyo maana yeye huwahadithia watu kwamba, ‘halali usiku na mchana:- Jua.’

Kitendawili hicho, chafundisha watu juu ya kuwa na bidii ya kuzitekeleza kazi zao kwa umakini mkubwa, ili waweze kupata mafanikio mengi, maishani mwao.

2Wakorintho 4:16-18.

2Wakorintho 5:1-3.

Mathayo 24:35.

Limi

magwa limi

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.

HE DOES NOT SLEEP DAY AND NIGHT – THE SUN.

The source of this riddle is the sun that does not rest in its shinning. It shines all the time. The sun was created to shine all the time. That is why people have a riddle to describe this natural happening that ‘he does not sleep day and night – the sun.’

This riddle can be compared to a person who is industrious and eager to do his/her best. That person has conditioned his/her body to work tirelessly, a condition that is comparable to that of the sun that shines day and night.

This riddle teaches people to carry out their duties with great effort and to be diligent in carrying out their tasks with great care so that they can achieve more in their lives.

2 Corinthians 4: 16-18.

2 Corinthians 5: 1-3.

Matthew 24:35.