673. NALUKOLEKEJA SONDA (NG’WEJI) WALOLA LWALA.

Imbuki ya lusumo lunulo, yingilile kubhanhu bhabhili abho bhiyolekejaga sonda. Uumo agang’olekeja ung’wiye isonda yiniyo, bhogunsonela bho lwala lokwe.

Amafumilo gaho, uyo olekejiyagwa isonda yiniyo, agalola lwala lo ng’olekeja okwe, bho gukija ugulola uko alisonelwa. Hunagwene ung’olekeja o sonda ng’wunuyo, agang’wila giki, ‘nalukolekeja sonda (ng’weji) walola lwala.’ Kueneza Injili kwa Methali, bhukurasa bho 6.

Iyiniyo yandikwa umujitabho ja ‘kueneza Injili kwa methali’ ijo jandikwa na Padri Donald Sybertz, M.M., na Padri Joseph Healey, M.M., Bujora, Mwanza, Tanzania, 20, Februari, 1984. Ijojigachapishiwa na Benedictine Pubhications Ndanda – Peramiho, 1984.

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kubhusabhi wingi ubho bhulihoyi umukajile ka makabhila gise, ubho abhakengeji bhalolecha ubho bhabhubhulucha. Aliyo aise dugakamanaga na gukatumila kapande kadoo noyi guti lwala. Ukijigemelo, umulusumo lunulo, bhulihoyi bhung’hana umu likabhila lya jisuguma (nonono lipande lya Shinyanga ni Mwanza umu Si ya Tanzania, bhagandika abhakengaji bhenabho.

Bhulihoyi bhusabhi, na solobho ya kikalile, kabhila, na kajile (guti Sonda). Aliyo lulu, dugadebhaga, nulu dugamanaga na gutumila kapande kadoni duhu (guti lwala).

Giko nu mu Biblia nu muBhulangwa bho ng’wa Yesu Kristo, galihoyi (magali na malihu, matale na mashimu, Waefeso 3:18. (guti sonda). Aliyo dugamagana nulu dugadebhaga kapande kadoni duhu (guti lwala).

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gwita bhukengeji umu kajile na kikalile kabho, ubhogudula guidebha imijilo iyo ilinabhusabhi bho wiza, ugulunganyiwa nu bhuzunya bhobho chiza, umu Likelesia.

Ijinagongeja, ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya kuisoma IBiblia bho bhukamu na chiza, kugiki bhadule gugudebha uguzunya ugogubhatongela umubhupanga ubho bhudashilaga.

KISWAHILI: NILIKUONESHA NYOTA (MWEZI) UMEANGALIA KIDOLE.

Chanzo cha methali hiyo, chatokea kwenye watu wawili waliokuwa wakioneshana nyota. Mmoja alimuonesha nyota hiyo mwenzake kwa kutumia kidole chake.

Matokeo yake, yule aliyeoneshwa aliangalia kidole tu, badala ya kuangalia kule ambako kidole kilionesha. Ndiyo maana huyo aliyemwonesha mwenzake hiyo nyota, alimwambia kwamba, ‘nilikuonesha nyota (mwezi) umeangalia kidole!’ Kueneza Injili kwa Methali ukurasa wa 6.

Hayo yanapatikana katika kitabu hicho cha ‘kueneza Injili kwa methali’ kilichoandikwa na Padre Donald Sybertz, M.M., na Padre Joseph Healey, M.M. Bujora, Mwanza, Tanzania, 20, Februari, 1984. Kilichochapishwa na Benedictine Publications Ndanda – Peramiho, 1984.

Methali hiyo, hulinganishwa na utajiri mwingi uliomo kwenye tamaduni za makabila yetu, ambazo watafiti huonesha walivyovigundua. Lakini sisi tunafahamu sehemu ndogo sana kama kidole.

Kwa mfano, katika methali hiyo kuna ukweli maalum katika kabila la kisukuma (hasa sehemu za Shinyanga na Mwanza katika nchi ya Tanzania), wanaeleza watafiti hao.

Kuna utajiri na thamani za utamaduni, lugha, mila na desturi (ni kama nyota). Lakini tunatambua, au tunafahamu na kutumia sehemu ndogo tu (ni kama kidole).

Vile vile katika Biblia na mafundisho ya Yesu Kristo, kuna “mapana na marefu, kwa kima na kina,” Waefeso 3:18. (ni kama nyota). Lakini tunatambua, au tunafahamu na kutumia sehemu ndogo tu (ni kama kidole).

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kufanya utafiti katika tamaduni zao, wa kuwawezesha kuzifahamu na kuzienzi mila zilizonjema, ambazo ni hazina, kwa ajili ya kutamadunisha vizuri katika Kanisa.

Zaidi ya hayo, methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuisoma Biblia kwa bidii na vizuri, ili waweze kuielewa inavyotakiwa imani inayoongoza kwenye uzima wa milele.

star showing1

mahoya

star showing

ENGLISH: I POINTED OUT TO YOU THE STARS (THE MOON) AND ALL YOU SAW WAS THE TIP OF MY FINGER.

The cradle of the overhead proverb comes from two people who were showing each other stars, by pointing a finger to them. One pointed to the other star with his finger.

As a result, the other who had been shown, only looked at the finger, instead of looking at where the finger pointed. That is why the one who showed the star to that fellow told him, ‘I pointed out to you the star (the moon) and all you saw was the tip of my finger!’ ‘Kueneza Injili kwa Methali,’ page 6.

The details are found in the above referred book entitled ‘Kueneza Injili Kwa Methali’ which means, ‘Spreading the Gospel through Proverbs’, that was written by Father Donald Sybertz, M.M., and Father Joseph Healey, M.M. Bujora, Mwanza, Tanzania, 20, February, 1984. It was published by Benedictine Publications Ndanda – Peramiho, 1984.

In the history of the Sukuma people in Tanzania in East Africa (and African people everywhere), there is a great richness and wealth in their culture, language, traditions and customs, (like the vast richness of the stars). But people recognize, understand and use only a very small part of this treasure, (like seeing only the tip of one’s finger).

Similarly in the Bible, and the teachings of Jesus Christ, there is “the breadth and length and height and depth” (Ephesians 3:18), (like the vast richness of the stars). But people recognize, understand and use only a very small part of this treasure, (like seeing only the tip of one’s finger).

This Sukuma proverb also teaches that, sometimes people can focus on the wrong part, or point of a particular subject, such as African culture, that is, look at the tip of the finger of the culture rather than its stars.

The challenge of inculturation and contextualization is to go beyond the superficial changes in liturgy and religious symbols to an all-encompassing pastoral inculturation that has African flesh and blood.

Similarly, people can focus on the wrong part or point of the Bible and the teachings of Jesus Christ. The challenge is to go beyond the rules and regulations of the Bible to a complete transformation in the Christian life.

This Sukuma proverb also hints at the vast treasure and many possibilities in using African proverbs, and other forms of African oral literature and oral communication to preach the gospel and develop an inculturated and contextualized African Christianity.

This is one of the great challenges of inculturation in the Christian Churches in Africa today: to make a correlation between African oral literature and cultural symbols and Christianity, and to express this in pastoral theological reflections and actions that concretely speak to people’s everyday life. This task includes both theology and praxis in developing a functional African Christianity and an applied pastoral inculturation.

 

2 comments

  1. This proverb is written up in English in many places. In the history of the Sukuma people in Tanzania in East Africa (and African people everywhere) there is a great richness and wealth in their culture, language, traditions and customs (like the vast richness of the stars). But people recognize, understand and use only a very small part of this treasure (like seeing only the tip of one’s finger). Similarly in the “Bible” and the teachings of Jesus Christ there is “the breadth and length and height and depth” (Ephesians 3:18) (like the vast richness of the stars). But people recognize, understand and use only a very small part of this treasure (like seeing only the tip of one’s finger).

    This Sukuma proverb also teaches that sometimes people can focus on the wrong part or point of a particular subject such as African culture, that is, look at the tip of the finger of the culture rather than its stars. The challenge of inculturation and contextualization is to go beyond the superficial changes in liturgy and religious symbols to an all-encompassing pastoral inculturation that has African flesh and blood. Similarly, people can focus on the wrong part or point of the “Bible” and the teachings of Jesus Christ. The challenge is to go beyond the rules and regulations of the “Bible” to a complete transformation in the Christian life. This can be a good theme during the current Lent, 2020 liturgical season.

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.