658. NGOSHA NG´WIYO ADUGUB´EGEJA KAYA.

Imbuki ya lusumo lunulo, yilolile bhubheja bho ngosha aha kaya yakwe. Ubhubheja bhunubho, bhuli bho gutumama milimo iyo idulile guyibheja chiza ikaya yiniyo, kunguno uweyi atiho gubhegejiwa ikaya yakwe na ngosha oha bhuzenganwa. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘ngosha ng’wiyo adugub’egeja kaya.’

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agalindilaga gwambilija na bhanhu bha kungi, uguyibheja ikaya yakwe. Umunhu ng’wunuyo, atogilwe gulomba wambilijiwa bho guitumama imilimo iyo adulile guimala nulu weyi ying’wene. Uweyi adadebhile igiki bhuli ng’wene ali na milimo ya guitumama aha ng’wakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agadumaga uguyibheja chiza ikaya yakwe, kunguno ya gwisagilwa bhanhu bhahabhuzengangwa, giki bhagung’wambilija uguitumama imilimo yakwe yiniyo.

Uweyi agimanilaga amakanza agamilimo gamalaga gubhita, kunguno ya bhulindikiji bho gwambilijiwa uguitumama imilimo iyo nuweyi ayidulile uguimala chiza. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, ‘ngosha ng’wiyo adugub’egeja kaya.’

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gwigulambija uguitumama imilimo yabho iyo bhayidulile, umuwikaji bhobho, kugiki bhadule ugujibheja chiza ikaya jabho, umukikalile kabho.

Ezekieli 34:10.

Ezekieli 34: 15.

Wagalatia 6:5.

Mathayo 7:13-14.

KISWAHILI: MWANAMUME MWENZAKO HATAKUTENGENEZEA MJI.

Chanzo cha methali hiyo, chaangalia uendelezaji wa mwanamume katika familia yake. Uendelezaji huo, ni wa kuyatekeleza majukumu yake, bila kusubiri kusaidiwa na ng’wingine kwenye kazi zile ambazo hata yeye mwenyewe anaweza kuzifanya. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘mwanamume mwenzako hatakutengenezea mji.’

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye husubiri kusaidiwa na watu wengine katika kufanya kazi zile ambazo hata yeye mwenyewe anaweza kuzitekeleza, maishani mwake. Mtu huyo, hupenda kuomba msaada wa kusaidiwa kutoka kwa wenzake, hata kwenye majukumu yale anayoyaweza kuyamaliza mwenyewe. Yeye hafahamu kwamba, kila mmoja ana majukumu ya kufanya kwenye familia yake.

Mtu huyo, hushindwa kuiendeleza vizuri familia yake, kwa sababu ya kutegemea msaada wa majirani au watu wengine, katika kuzitekeleza kazi anazoziweza hata kuzimaliza yeye peke yake.

Yeye hushitukia muda wa kufanya kazi umepita bila kufanya kazi yoyote, kwa sababu ya kutegemea majirani wamfanyie kazi alizo nauwezo nazo, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, ‘mwanamume mwenzako, hatakutengenezea mji.’

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kujibidisha kufanya kazi zile wanazoziweza, katika maisha yao, ili waweze kupata mafanikio ya kuziendeleza vizuri familia zao, maishani mwao.

Ezekieli 34:10.

Ezekieli 34: 15.

Wagalatia 6:5.

Mathayo 7:13-14.

man-ng'wiyo

man ng'wiyo2

man ng'wiyo1

ENGLISH: YOUR FELLOW MAN WILL NEVER BUILD YOUR FAMILY.

The source of this proverb is a man who struggles to build his own family. This man can be dedicated to carry out his duties in a manner that makes his family get enough food for their survival. He struggles to be self-sufficient in life and avoid to depend on others because he knows that ‘your fellow man will never build your family.’

This proverb can be compared to a person who is waiting to be helped by others in doing his work, even those works which he can do by himself. Such people depend on others as they can beg in order to sustain their lives and those of their family members. People of this nature need to be warned against this behaviour because it can cause chaos to their neighbours. They need to understand that each individual person has his/her own responsibilities.

The proverb teaches people to be self-sufficient by working hard. They don’t have to depend on others. If they work hard to sustain their families they would be in a better position of nurturing their families in a very promising manner.

Ezekiel 34:10. Ezekiel 34:15. Galatians 6: 5. Matthew 7: 13-14.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.