637. IBANDA LYA NG´WA NYAMUNKONDO.

Imbuki ya kahayile kenako, yilolile munhu uyo witanagwa Nyamunkondo. Umunhu ng’wunuyo wali wa nguzu noyi, umutumami bho milimo yakwe, kunguno opandikaga majikolo mingi aha ng’wakwe.

Uweyi hangi oli na ng´holo niza, kunguno obhanukulaga bhanhu bhingi aho oli alazengile libanda lyakwe, ilo lyali litale gete. Hunagwene abhanhu bhagalitanaga giki, ‘Ibanda lya ng’wa Nyamunkondo.’

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo atogililwe gubhakaribhusha bhanhu bhingi aha kaya yake. Umunhu ng’wunuyo, ali na ng’holo niza ya kutumama milimo bho gwiyambilija chiza na bhiye, kugiki ayegele halumo na bhiye bhenabho. Uweyi ali na sabho ningi na kaya nhale aha ng’wakwe henabho, kunguno ya nguzu jakwe ijagwigulambija gutumama milimo yakwe chiza.

Umunhu ng’wunuyo, agikikolaga nu Nyakumunkongo o libanda litale, kunguno nuweyi ali na kaya nhale na ng’holo niza ya kubhakaribhusha bhanhu bhingi aha kaya yakwe yiniyo. Hunagwene abhanhu abha bhagajaga hoyi, bhagalitanagwa giki ‘Ibanda lya ng’wa Nyamunkondo.’

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na ng’holo ya gwigulambija gutumama milimo na kubhakaribhusha bhanhu bhingi, aha kaya jabho, kugiki bhadule kujibheja chiza ikaya jabho jinijo, umukikalile kabho.

Mathayo 13:32.

Mathayo 11:28.

KISWAHILI: BANDA LA NYAMUNKONDO.

Chanzo cha msemo huo, chaangalia mtu aliyekuwa anaitwa Nyamunkondo. Mtu huyo, alikuwa na nguvu nyingi zilizomwezesha kufanya kazi kwa bidii na kupata mali nyingi. Yeye alikuwa na moyo wa ukarimu katika kuwakaribisha watu wengi kwenye banda lake, ambalo lilikuwa kubwa sana. Ndiyo maana watu waliliita kuwa ni, ‘Banda la Nyamunkondo.’

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule anayependa kuwakaribisha watu wengi kwenye familia yake. Mtu huyo, ana moyo wa kujibidisha kufanya kazi kwa ushirikiano na wenzake, ili aweze kufurahi pamoja na wenzake  hao. Yeye pia ana mali nyingi na familia kubwa sana, kwa sababu ya nguzu zake za kujibidisha kufanya kazi zake vizuri.

Mtu huyo, hufanana na Nyamunkondo mwenye Banda kubwa, kwa sababu naye ana familia kubwa na moyo wa kuwakaribishwa watu wengi kwenye familia yake hiyo. Ndiyo maana watu wanaoenda kwake huiita nyumba yake kuwa ni ‘Banda la Nyamunkondo.’

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na moyo wa kujibidisha kuyatekeleza vizuri majukumu yao, na kuwakabirisha watu kwenye familia zao, ili waweze kuziendeleza vizuri familia zao, maishani mwao.

Mathayo 13:32.

Mathayo 11:28.

massai-tanzania

african-3

 

ENGLISH: THE HOUSE OF NYAMUNKONDO.

The source of this saying is a person known by the name of Nyamunkondo. This person was so energetic. He could work hard in his farm and get enough farm produce to the extent of making him rich in his society. This person was also very generous to others. He could invite people to his home and treat them well. This is why people came with the saying that ‘The big house of Nyamunkondo’ to mean kindness and respect.

This saying can be compared to a person who likes to invite people to his/her family. This person enjoys the company of other people around him/her. He/she uses his/her wealth to entertain others. Such a person also teaches other people to work hard and have a welcoming spirit to others.

This saying teaches people about having commitment to carry out their responsibilities and inviting people to their families. In so doing, they will be able to bring collaboration and unity among people in a certain society.

Matthew 13:32, Matthew 11:28.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.