636. KABAMUKE ILANDO LYA MAGU.

Imbuki ya kahayile kenako, yingile kubhubamuki bho lilando lya Magu.  Imagu ili wiyaya ya Nkoa go Ng’wanza iyo yali na malando ayo gitanagwa magabamuke. Malando genayo, gagahuluma aliyo lulu, ugutulila inumbu nduhu. Hungawene abhanhu bhagagitanaga giki, ‘kabamuke ilando lya Magu.’

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabamukaga mamihayo sagala, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agabamukaga mihayo iyo idinasolobho, niyo bho lilaka lya higulya. Uweyi adaiganikaga chiza imahayo iyo agaiyombaga yiniyo, kunguno ya bhudumi bho gwitegeleja chiza, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga na malando aga Magu ayo gagahulumaga wangu aliyo bho nduhu ugutulila inhumbu, kunguno nuweyi agabamukaga mamihayo sagara, ayo gadina solobho yoseyose, ukubhanhu.

Abho bhandebhile umunhu ng’wunuyo, bhadayidililaga mihayo iyo agayiyombaga, kunguno bhamanile igiki idina bhung’hana. Hunagwene bhagang’witanaga giki, ‘kabamuke ilando lya Magu.’

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya guitegeleja chiza imihayo yabho haho bhatali uguyiyomba,  kugiki bhadule gubhalomela abhanhu bhabho, mihayo iyo iliyasolobho umugujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Mathayo 6:7.

Yakobo 2:14-17.

1Wakorintho 13:1-3.

Mathayo 3:7.

KISWAHILI: KAROPOKA LANDO LA MAGU.

Chanzo cha msemo huo, chatokea kwenye uropokaji wa lando la Magu. Magu ni wilaya iliyoko katika mkoa wa Mwanza, ambamo yalikuwemo malando yaliyoitwa ‘karopoka.’ Malango hayo, yalistawi upesi lakini, hayakuweka viazi chini yake. Ndiyo maana watu waliyaita, kuwa ni ‘karopoka lando la Magu.’

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huropoka maneno hovyo, katika maisha yake. Mtu huyo, huropoka maneno yasiyo na faida na kwa kutumia sauti ya juu sana.

Yeye hayafikirii vizuri maneno yake hayo, kabla hajayatamuka, kwa sababu ya kutokuutumia muda wake katika kuelewa kwa makini maana ya maneno yake hayo, na namna ya kuyasema.

Mtu huyo, hufanana na malando hayo ya Magu ambayo hustawi haraka, lakini bika kuweka viazi chini yake, kwa sababu naye huropoka maneno hovyo ambayo hayana faida yoyote kwa watu wake.

Wale wanao mfahamu mtu huyo, huyapuuzia maneno yake hayo, kwa sababu wanafamu kuwa hayana uweli ndani yake. Ndiyo maana wao humuita mtu  huyo, kuwa ni ‘karopoka lando la Magu.’

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuyafikiria kwa makini maneno yao kabla hawajayaongea, ili waweze kuwaeleza watu wao maneno yenye faida katika kuzijenga vizuri familia zao, maishani mwao.

Mathayo 6:7.

Yakobo 2:14-17.

1Wakorintho 13:1-3.

Mathayo 3:7.

numbu4

numbu

numbu2

 

ENGLISH: THE MAGU POTATO PLANT.

The source of this saying is the Magu potato plant. Magu is one of the districts in Mwanza region. In this district, there happened that its soil would be fertile enough to flourish potato plants but was not capable of yielding potatoes of good quality. This is why people came with this saying that’the Magu potato plant’ to signify good appearance but less productive.

This saying can be compared to a person who fails to have convincing words to other people. Much as he/she might be having good appearance, what puts him/her down is the power of speech to persuade others to do something. The saying can also be likened to a wordy person who cannot make sense of what he/she speaks. Like the Magu potato plant, this person can be ignored by other people because of lacking truth in his/her speech.

The saying teaches people to think carefully about their words before they speak. This can help people to build their societies through their good and persuasive words that can result into positive changes in the society.

Matthew 6: 7, James 2: 14-17,1Corinthians 13: 1-3, Matthew 3: 7.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.