624. JALANDUBHAKA NI NDOTO ALI NJUMU GINEHE?

Imbuki ya lusumo lunulo, yingilile kubhubhaki bho ng’hwi ndoto ni njumu. Ing’hwi ndoto jinijo, jigabhizaga ndimu ugub’aka, kunguno jigikalaga na minzi umugati yajo, ayo gagagujimyaga umoto gunuyo. Giko lulu, ugushiga nose jugahadika kubhaka indoto jinijo, mumho injumu jigubhiza jashilaga kubhaka kale. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘jalandubhaka ni ndoto ali njumu ginehe?’

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo ali nsabhi, nuyo ali ng’hab’i, ahikanza ilya nzala. Ulu nsab`i ugakoya aliyo alina ginhu, alu ng´hab´i agubhiza ginehe?

Ing’hwi indoto jikolile nu nsabhi kunguno uweyi alina jikolo ja gujinja upandika hela ja gugulila jiliwa. Kuyiniyo lulu, umunhu ng’wunuyo, adukoyiwa wangu ni likoye ilya nzala linilo, ilo ligikolanijiyagwa na bhubhaki bho moto. Uweyi ugushiga apandike makoye, agubhiza ojimalaga gujijinja pye isabho jakwe, haho jilandije ugubhaka ng’hwi indoto jinijo.

Aliyo lulu, ing’hwi injumu jigabhakaga wangu nulu gubhachiwa duhu umoto, ijo jikolile na munhu uyo ali ng’hab’i, kunguno agakoyiyagwa ni nzala nulu yingila duhu, iki adina jikolo ja gwisumilila. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘jalandubhaka ni ndoto ali njumu ginehe?’

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gwigulambija kutumama milimo yabho chiza, kugiki bhadule gupandika jikolo ijagubhambilija ahikanza ilya nzala, umuwikaji bhobho.

Kutoka 3:2-3.

Mithali 11:31.

Luka 23:31.

1 Petro 4:17-18.

Mathayo 19:23-24.

KISWAHILI: ZINAELEKEA KUWAKA ZILIZO MBICHI JE ZILIZOKAVU VIPI?

Chanzo cha methali hiyo, chatokea kwenye uwakaji wa kuni mbichi na kavu. Kuni hizo mbichi, huwa ngumu kuwaka kwa sababu ya maji yaliyomo ndani yake, ambayo huuzima moto huo. Hivyo basi, kuni hizo zikifikia hatua ya kutaka kuwaka, zile kavu zitakuwa zimekwisha kuteketea zamani. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘zinaelekea kuwaka zilizo mbichi je zilizokavu vipi?’

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ni tajiri na yule ambaye ni maskini, kwenye kipindi cha njaa. Tajiri akihangaishwa na jaa, wakati ana vitu, je, aliye maskini njaa hiyo itamfikishaje?

Kuni mbichi hufanana na tajiri kwa sababu ya yeye  kuwa na vitu ambavyo huviuza na kupata pesa za kununulia chakula. Kwa hiyo basi, mtu huyo, hatasumbuliwa upesi na tatizo hilo la njaa, ambalo hufananishwa na uwakaji wa moto. Yeye akimaliza kuuza vitu vyake vyote, ndipo atakapoanza kuonja shida hiyo ya njaa, kwa sababu kuni zake zitakuwa zimekauka na kuanza kuwaka.

Lakini basi, kuni kavu huwaka mara moja unapowashwa moto huo, ambazo hufanana na maskini, kwa sababu yeye husumbulilwa na tatizo hilo la njaa mara linapoingia tu, kwa vile hana vitu vya kuuza ili apate hela ya kununulia chakula. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘zinaelekea kuwaka zilizo mbichi je zilizokavu vipi?’

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kujibidisha kufanya kazi zao vizuri, ili waweze kupata mafanikio ya kutosha kuwasaidia katika kutatua tatizo la njaa, maishani mwao.

Kutoka 3:2-3.

Mithali 11:31.

Luka 23:31.

1 Petro 4:17-18.

Mathayo 19:23-24.

nsabhi masai

 

ng'hwi5

ng'hwi2

 

 

ENGLISH: IF THE GREEN ONE ARE BURNING, HOW ABOUT THE DRY ONE?

The source of this saying is the relationship between green and dry firewood. The green firewood are always late to catch fire because they contain high content of moisture while their dry counterpart tend to catch fire easily because they have low moisture content in them. When put together the green and dry firewood, it is obvious that the dry firewood will get burnt first before the green one.

The moment the fire begins burning the green firewood, the dry one would have been finished completely. This is why people came up with this saying that ‘If the green one are burning, how about the dry one?’ to communicate the effect the dry firewood can get when compared to the green firewood.

This saying can be compared to a rich person. Rich people are the ones with enough resources to sustain their lives. These people, when compared to poor people, are not easily affected by calamities such as famine because they can use their resources to defend themselves from it (the calamity). If it happens that this rich person begins facing the effect of the calamity then it is likely that the poor people have already been severely affected by it (calamity). Like dry firewood, poor people begin facing the effect of the calamity immediately from the start.

This saying teaches people to work hard so that they can be successful enough to sustain their lives and their families. In so doing, they can be able to solve family problems in future, if they happen.

Exodus 3: 2-3, Proverbs 11:31, Luke 23:31, 1Peter 4: 17-18, Matthew 19: 23-24.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.