618. KUB´AGA KANA KA MBULI GWELWA NG´HOLO.

Imbuki ya kahayile kenako, yilolile bhubhagi bho ng’wana o mbuli uyo atali ndololo. Ung’wana o mbuli ng’wunuyo,  agikalaga na ndili ndagana gete iyo idalekana wangu ni nyama. Kuyiniyo lulu, ugushiga mpaga nose umhagi ugamala ugukab’aga agubhiza wiyumilijaga noyi. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘gub’aga kana ka mbuli gwelwa ng’holo.’

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agatumilaga masala na wiyumilija umubhutumami bho milimo yakwe. Umunhu ng’wunuyo, adebhile ugugatumia chiza amasala gakwe ijinagubheja bhukengeji bho guidebha imilimo iyo idulile gung’wenhela matwajo mingi, umubhutumami bhokwe. Ulu omala ugwita ubhukengeji bhunubho, huna agajitumilaga chiza inguzu jakwe, kunguno amasala ni nguzu jilekanile.

Umunhu ng’wunuyo, agaitumamaga imilimo yakwe bho wiyumilija bhutale, mpaga opandika matwajo mingi umuwikaji bhokwe, guti nu mhagi uo kana ka mbuli, uyo agelagwa ng’holo mpaga okamala ugukabhaga.

Akikalile kakwe umunhu ng’wunuyo, kagabhalanjaga abhiye ahigulya ya gugatumila amasala bho wiyumilija bhutale, mpaga gushigila gugapandika amatwajo ayo gali mingi. Hunagwene agabhawilaga abhanhu giki, ‘gub’aga kana ka mbuli gwelwa ng’holo.’

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gutumila masala na wiyumilija bhutale umubhutumami bhobho, kugiki bhadule kupandika matwajo  agagudula gujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Zaburi 31:24.

Marko 8:34.

Wafilipi 3:7.

Waebrania 10:37.

Mathayo 10:16-22.

KISWAHILI: KUCHUNA KATOTO KA MBUZI YATAKA MOYO.

Chanzo cha msemo huo, chaangalia uchunaji wa katoto ka mbuzi. Katoto hako, huwa kana ngozi ililaini kweli, ambayo huleta ugumu kuitenganisha na nyama yake. Kwa hiyo basi, yule ambaye atafaulu kumaliza kukachuna katoto hako ka mbuzi, atakuwa amevumilia sana. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘kuchuna katoto ka mbuli yataka moyo.’

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hutumia akili zake vizuri na kwa uvumilivu katika utekelezaji wa kazi zake. Mtu huyo, anafahamu kuzitumia akili zake katika kufanya utafiti, wa kumuwezesha kuzifahamu kazi zile ambazo zitaweza kumletea mafanikio mengi, maishani mwake. Baada ya kufanya utafiti huo, ndipo huzitumia nguvu zake katika kuyatekeleza majukumu yake, kwa sababu anafahamu kwamba akili na nguvu ziko tofauti.

Mtu huyo, hufanya kazi zake kwa uvumilivu wa hali ya juu sana, mpaka anafikia hatua ya kupata mafanikio mengi, maishani mwake. Maisha yake hayo, huwafundisha wenzake namna ya kutumia akili kwa uvumilivu katika kuyatekeleza vizuri majukumu yao hadi kufikia hatua ya kuyapata mafanikio mengi. Ndiyo maana yeye huwaambia watu kwamba, ‘kuchuna katoto ka mbuli yataka moyo.’

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kutumia akili zao kwa uvumilivu wa hali ya juu katika kuyatekeleza vizuri majukumu yao, ili waweze kupata mafanikio ya kutosha kuziendeleza vizuri familia zao, maishani mwao.

Zaburi 31:24.

Marko 8:34.

Wafilipi 3:7.

Waebrania 10:37.

Mathayo 10:16-22.

kana ka mbuli

nimi o sheli

ntumami5

ENGLISH: SKINNING THE GOAT’S KID NEEDS PATIENCE.

The source of this saying is the goat’s kid. The goat’s kid is always featured by aving a soft skin. When skinning it, it can be very hard to separate between its skin and meat. Therefore, for one to skin it he/she needs a lot of patience. This is why people came with this saying that ‘skinning the goat’s kid needs patience’ to justify how hard it can be to skin it.

This saying can be compared to a person who uses his/her intellect well and patiently in the execution of his/her duties. This person is considered as someone who is very careful in his/her deeds. He/she doesn’t jump into conclusion without having a thorough and thoughtful idea about his/her decision. Such a person is always driven by the power of patience that makes him/her be successful in life.

The saying teaches people about using their intellect with the highest patience in carrying out their responsibilities. Patience can make them become successful in life.

Psalm 31:24, Mark 8:34, Philippians 3:7, Hebrews 10:37, Matthew 10: 16-22.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.