617. GUMBADA DESHI KWELWA NG´HOLO.

Imbuki ya kahayile kenako, yilolole bhubadi bho Deshi. IDeshi yiniyo, ili noni iyo ilindalang´hanu gete, umukikalile kayo. Kuyiniyo lulu, ugushiga mpaga munhu aidime agubhiza ali ng´wiyumilija noyi. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘gumbada Deshi gwelwa ng’holo.’

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agatumilaga masala na wiyumilija ijinabhutumami bho milimo yakwe. Umunhu ng’wunuyo, adebhile ugugatumia chiza amasala gakwe ijinagubheja bhukengeji bho guidebha imilimo iyo idulile gung’wenhela matwajo mingi, umubhutumami bhokwe. Ulu omala ugwita ubhukengeji bhunubho, huna agajitumilaga chiza inguzu jakwe, kunguno amasala ni nguzu jilekanile.

Umunhu ng’wunuyo, agaitumamaga imilimo yakwe bho wiyumilija bhutale, mpaga opandika matwajo mingi, guti nu mbadi o Deshi, uyo agelagwa ng’holo mpaga oidima.

Akikalile kakwe umunhu ng’wunuyo, kagabhalangaga abhiye ahigulya ya gutumila masala bho wiyumilija bhutale, mpaga gugapandika amatwajo ayo galigawiza. Hunagwene agabhawilaga abhanhu giki, ‘gumbada Deshi gwelwa ng’holo.’

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gutumila masala na wiyumilija bhutale umutumami bhobho, kugiki bhadule kupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Zaburi 31:24.

Marko 8:34.

Wafilipi 3:7.

Waebrania 10:37.

Mathayo 10:16-22.

Mathayo 24:2-14.

Yakobo 5:11.

1 Wakorintho 9:19-22.

Marko 13:13.

KISWAHILI: KUMKAMATA “DESHI” KUPIGA MOYO KONDE.

Chanzo cha msemo huo, chaangalia ukamataji wa Deshi. Deshi huyo, ni ndege ambaye ni mjanja kweli. Kwa hiyo basi, yule ambaye atafaulu kumkamata, atakuwa amevumilia sana. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘kumkamata ‘Deshi’ kupiga moyo konde.’

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hutumia akili zake vizuri na kwa uvumilivu katika utekelezaji wa kazi zake. Mtu huyo, anafahamu kuzitumia akili zake katika kufanya utafiti, kwa ajili kuzifahamu kazi zile ambazo zitaweza kumletea mafanikio, maishani mwake. Baada ya kufanya utafiti huo, ndipo huzitumia nguvu zake katika kuyatekeleza majukumu yake, kwa sababu anafahamu kwamba akili na nguvu ziko tofauti.

Mtu huyo, hufanya kazi zake kwa uvumilivu wa hali ya juu sana, mpaga anafikia hatua ya kupata mafanikio mengi, maishani mwake. Maisha yake hayo, huwafundisha wenzake namna ya kutumia akili kwa uvumilivu katika kuyatekeleza majukumu yao hadi kufikia hatua ya kuyapata mafanikio hayo. Ndiyo maana yeye huwaambia watu kwamba, ‘kumkamata ‘Deshi’ kupiga moyo konde.’

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kutumia akili zao kwa uvumilivu wa hali ya juu katika kuyatekeleza vizuri majukumu yao, ili waweze kupata mafanikio mengi, maishani mwao.

Zaburi 31:24.

Marko 8:34.

Wafilipi 3:7.

Waebrania 10:37.

Mathayo 10:16-22.

Mathayo 24:2-14.

Yakobo 5:11.

1 Wakorintho 9:19-22.

Marko 13:13.

noni

nkima ntumami

planting nimi nkima

ntumami4

 

ENGLISH: TO CATCH DESHI (A CLEVER BIRD) REQUIRES PATIENCE.

The source of this saying is a bird known by name of deshi in Kisukuma language. This bird is assumed to be too clever to be caught by its enemies. For one to catch it, he/she needs to be patient enough otherwise one can give up within a very short period of time. To dscribe this situation, people came with this saying that ‘to catch deshi (a clever bird) requires patience’ to show how hard the task is.

This saying can be compared to a person who uses his/her mind well and patiently in the execution of his/her duties. This person relies on scientific research in coming up with conclusion about something. He/she knows that, there is no easy task rather patience and hard work are the roots to success. This person can have a lot of achievements in his/her life because of the way he/she conducts his/her things.

This saying teaches people about using their brains with the highest perseverance in performing their tasks. In so doing, people can have development in their socities.

Psalm 31:24, Mark 8:34, Philippians 3: 7, Hebrews 10:37, Matthew 10: 16-22, Matthew 24: 2-14, James 5:11, 1Corinthians 9: 19-22, Mark 13:13.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.