612. KALAGU – KIZE. KAGUFULA UNA KAGULYA:– KABHUGALI.

Imbuki ya kalagu yiniyo, ililola bhugali. Ubhugali bhunubho, ulu wingijiwa ha liko na gutengwa b’ugikalaga b’useb’u noyi. Unii obho mpaga ub’ufulilije b’upole huna abhulije ung’wikub’i alye, kunguno ulu adabhufulilijije mumho agupya. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘kagufula una kagulya:- Kabhugali.’

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu uyo agitaga bhukengeji bhutale haho atali ugwita mhayo gosegose, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agajitumilaga ijikolo jakwe bho bhukengeji wiza, kugiki jidule gung’wambilija ku makanza malihu.

Uweyi agabhejaga bhukengeji ubhogudula gung’wambilija uguyiyangula chiza imihayo ya bhiye. Ugubhitila bhukengeji bhunubho, umunhu ng’wunuyo agafunyaga bhulamuji bho ng’hana ukubhanhu bhakwe. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘kagufula una kagulya:- Kabhugali.’

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gwita bhukengeji bho gutumila masala madekanu, hayo bhadina lamula mhayo gosegose, kugiki bhadule gubhalang’hana chiza abhanhu bhabho, na kujitumila chiza isabho jabho, umuwikaji bhobho.

1Wafalme 3:5-12.

1Wafalme 7:14.

Mathayo 25:1-3.

KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA.

KAKUPULIZA NDIYO KAKULA:- UGALI.

Chanzo cha kitendawili hicho, chaangalia ugali. Ugali huo, ukitolewa jikoni na kuwekwa mezani, huwa unakuwa wa moto sana. Mlaji wake, hutakiwa kuupuliza ili uweze kupoa ndipo aweze kuula, kwa sababu akiula bila kuupuliza utamunguza. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, ‘kakupulila ndiyo kakula:- ugali.’

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hufanya utafiti wa kina kabla ya kuanza kufanya lolote, katika maisha yake. Mtu huyo, huvitumia vitu vyake kwa umakini unaoendana na utafiti mzuri, ili mali hizo ziweze kumsaidia kwa muda mrefu.

Yeye hufanya utafiti wa kuweza kumsaidia katika kutoa maamuzi ya haki kwa wenzake. Kupitia utafiti huo, mtu huyo, hufaulu kutoa hukumu za haki kwa watu wake. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, ‘kakupulila ndiyo kakula:- ugali.’

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kufanya utafiti kwa kutumia akili timamu au nzuri kabla ya kuamua jambo lolote, ili waweze kuwalinda vizuri watu wao, na kutumia vizuri mali zao, maishani mwao.

1Wafalme 3:5-12.

1Wafalme 7:14.

Mathayo 25:1-3.

bhugali

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.

IT HAS TO BE BLOWN FIST BEFORE EATING – UGALI .

The source of this riddle is hot ugali. Ugali is an African traditional food that is cooked by mixing hot water and maize/wheat/soghum/fingermillet flour and stiring it using a wooden stick. This food is always eaten while still hot and therefore one has to blow it first before putting it into the mouth. This is why people came with this riddle to describe the way ugali is being eaten: ‘It has to be blown first before eating – ugali.’

This riddle can be compared to a person who does extensive research before he/she starts doing anything in his/her life. This person appears to be organised well in his/her doings. He/she conducts researches before reaching a certain decision. The way he/she does his/her things can be likened to cooling down the lump of ugali one is having in his/her hand in order to eat it easily.

This riddle teaches people about doing research using sound or good thinking before deciding on anything. This can help to protect people from misleading themselves thus affecting their entire life system.

1Kings 3: 5-12, 1Kings 7:14, Matthew 25: 1-3.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.