593. KALAGU – KIZE. SHELENYETE: – BHUSUNGU BHO NG’HUMI.

Imbuki ya kalagu yiniyo, yililola bhusungu bho ng’humi. Ing’humi yiniyo, jilisumva ijo jili na bhusungu ulu junhuma munhu. Uyo olumagwa ng’wunuyo, ikanza lingi agiigwaga giti inhumi yiniyo, ilisiminza umugati ya mili gokwe, kunguno agab’izaga guti alishinwa. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘shelenyete:- Bhusungu bho ng’humi.’

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli nkima uyo alilung’wa bhusungu, ahikanza lya gwifungula. Umunhu ng’wunuyo agasadyaga noyi, guti nu bhusungu bho ng’humi, ukuli munhu uyo yanhumaga. Agikomejaga noyi, ugwiyumilija, mpaga nose agadujaga, ugwifungula chiza.

Umayu ng’wunuyo, agabhalanjaga abhiye ahigulya ya gwiyumilija ulu bhalichola kupandika ginhu jisoga. Uweyi agabhizaga jigemelo jawiza ukubhanhu abho bhalihaya kupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho. Hunagwene agabhaganilaga abhanhu giki, ‘shelenyete:- Bhusungu bho ng’humi.’

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya kubhiza na wiyumilija ulubhalitumama nimo ndimu, umuwikaji bhobho, kugiki bhadule gupandika matwajo ga gujibheja chiza ikaya yabho.

Mwanzo 3:16.

1Wakorintho 10:13.

Isaya 21:3.

Zaburi 48:6-7.

Mathayo 11:28-30.

Yohana 16:21.

KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA.

KUUMA KAMA UNAFINYWA:- SUMU  YA NGE.

Chanzo cha kitendawili hicho, chaangalia sumu ya nje. Inge huyo, ni kiumbe chenye sumu, kikimuuma mtu. Yule aliyeumwa, wakati mwingine, hujisikia kama nge anatembea ndani ya mwili wake, kwa sababu ya maumivu hayo makali yanayomfanya ajisikie kama anafinywa. Ndiyo maana yeye huwahadithia watu kwamba, ‘kuuma kama unafinywa:- sumu ya nge.’

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mwanamke yule anayejisikia uchungu wakati wa kujifungua. Mtu huyo, hujisikia maumivu makali sana, kama yale ya uchungu wa kuumwa na nge, kwa mtu yule aliyeumwa. Yeye hujibidisha kuvumilia, mpapa mwishowe hufaulu kujifungua salama.

Mama huyo, huwafundisha watu juu ya kuvumilia katika matatizo wanayokumbana nayo maishani mwao, ili waweze kuyafikia mafanikio wanayoyatarajia. Yeye ni mfano wa kuigwa na wenzake, wanaotaka kupata mafanikio mengi, katika maisha yao. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, ‘kuuma kama unafinywa:- sumu ya nge.’

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kuwa na uvumilivu wanapoyakamilisha majukumu yao, ambayo ni magumu, maishani mwao, ili waweze kupata mafanikio ya kutosha kuziendeleza vizuri familia zao.

Mwanzo 3:16.

1Wakorintho 10:13.

Isaya 21:3.

Zaburi 48:6-7.

Mathayo 11:28-30.

Yohana 16:21.

scorpion-

scorpion2

 

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.

IT PAINS AS IF YOU ARE BEING PINCHED – SCORPION’S POISON.

The source of this riddle is the scorpion’s poison. Scorpions tend to produce poison when they bite other animals. When it bites, the bitten animal will feel pain in the same way one can feel when is being pinched. This is why people came with this riddle that ‘it pains as if you are being pinched.’ -scorpion’s poison.’

This riddle can be compared to a woman who is in labour. This woman can feel severe pain, like that of a bite, but she is able to persevere and finally deliver a child. This woman teaches others about how to endure problems one can face in his/her life. She can be taken as a role model to others who have to struggle without giving up in order to achieve success in life.

This riddle teaches people about patience as they fulfill their goals. They have to be tolerant enough in making sure that they achieve what they desire in their lives.

Genesis 3:16, 1Corinthians 10:13, Isaiah 21: 3, Psalm 48: 6-7, Matthew 11: 28-30, John 16:21.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.