591. SULUMIDA YENIYI YAFULA MINZI.

Imbuki ya kahayile kenako, yilolile sulumida. Isulumida yiniyo, lililiginhu lya gub’eja bho bhulolo, nulu b’o gupunza b’o linti. Ilyoyi ligatumamilagwa b’o gug’wisija ng’ombe minzi. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘sulumida yeniyi yafula minzi.’

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo ali nsabhi, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agabhizaga na mang’ombe mingi, mbuli ni ng’holo najo jili ningi. Ahakaya yake, jilihoyi na ngoko, mbata na majiliwa nago gali mingi.

Umunhu ng’wunuyo, agiikolaga ni sulumida iyo yafula minzi, kunguno nuweyi ojikwija sabho jinijo, aha ng’wakwe. Uweyi usabha kunguno ya wigulambija bho gutumama milimo yakwe.

Agajitumilaga isabho jakwe bho gutuula bhatumami umumilimo, kugiki adule gubhalanga abhanhu bhenabho higulya ya wigulambija bho gutumama milimo yabho chiza.

Uweyi agabhagalilaga chiza abhatumami bhakwe bho gubhinha jiliwa jawiza na minzi, kunguno ojikwija isabho. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘sulumida yeniyi yafula minzi.’

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gwigulambija kuchola sabho bho guitumama imilimo yabho, bho bhukamu bhutale, kugiki bhadule gujilanghana chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Mathayo 5:46.

Mathayo 27:57.

2Wakorintho 8:9.

Ufunuo 3:17.

1Timothea 6:17-18.

KISWAHILI: HORI HILI LIMETOSHEKA MAJI.

Chanzo cha msemo huo, chaangalia kifaa cha kunyweshea mifugo. Kifaa hicho, ni kitu kinachotengenezwa kwa tope au mti (yaani ni gongo lililochongwa vizuri). Chenyewe hutumiwa kwa kunyweshea ng’ombe maji. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘Hori hili limetosheka maji.’

Msemo huyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ni tajiri wa mali nyingi katika maisha yake. Mtu huyo, ana mifugo kama vile: ng’ombe wengi, hali kadhalika mbuzi, na kondoo. Yeye ana kuku, bata na chakula kwa wingi katika familia yake.

Mtu huyo, hufanana na hori lilitosheka maji, kwa sababu naye ana mali nyingi nyumbani kwake. Yeye alitajirika kwa sababu ya kujibidisha kufanya kazi zake vizuri. Mtu huyo, pia huitumia mali yake hiyo, kwa kuweka vibarua katika kazi zake, ili aweze kuwafundisha watu juu ya kujibidisha kuzifanya kazi zao.

Yeye huwatunza vizuri pia wafanyakazi wake, kwa kuwapatia chakula kizuri na maji ya kutosha, kwa sababu ameshatajirika maishani mwake. Ndiyo  maana watu husema kwamba, ‘hori hili limetosheka maji.’

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kujibidisha kutafuta mali kwa kufanya kazi zao kwa bidii kubwa, na kuzitumia vizuri wanapozipata, ili waweze kuzitunza vizuri familia zao, maishani mwao.

Mathayo 5:46.

Mathayo 27:57.

2Wakorintho 8:9.

Ufunuo 3:17.

1Timothea 6:17-18.

cow-drinking water

 

cow drinking water

cow drinking water1

ENGLISH: THIS TROUGH IS FULL OF WATER.

The source of this saying is a trouph animals use to drink water. This trouph is made up of wood or mud. People can put water in it for animals (for example, cows) to drink. To describe this trouph, people came with this saying that ‘This trouph is full of water.’

This saying can be compared to the richest person in a certain society. This person might be having a lot of wealth: cows, goats, sheep, chicken, ducks, etc. Like a trouph full of water, this person will appear as someone who is self-sufficient in his/her life because of his/her possessions. This persons’s possessions can be obtained through hard work. This person is also credited to taking good care of his/her stuff by providing them with all the necessities in life; food, water and shelter.

This saying teaches people about hard work. For one to become rich, he/she has to work hard.

Matthew 5:46, Matthew 27:57, 2 Corinthians 8: 9, Revelation 3:17, 1Timothy 6: 17-18.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.