492. ITAGA SAMBALAGUNA.

Imbuki ya kahayile kenako, ililola witi bho sambaliagana. Isambalaguna yiniyo, bhuli bhukangilija bho gugutumama nimo nhebhe. Ulu munhu alitumama nimo hado hado, agakomejiyagwa na bhiye bho guwilwa agwite unimo gunuyo bho bhukangilija. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, ‘itaga sambalaguna.’

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhakomelejaga abhanhu bhakwe gutumama milimo bho bhukangilija. Umunhu ng’wunuyo, adebhile ugubhalela chiza abhanhu bhakwe, bho gubhalanga gwigulambija uguitumama imilimo yabho, kugiki bhadule guimala wangu, na kupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Umunhu ng’wunuyo, agabhizaga na sabho ningi ahakaya yakwe, kunguno ya bhukamu bhokwe ubho guitumama imilimo iya hakaya yakwe yiniyo. Akikalile kakwe, kagabhalanjaga abhanhu higulya ya gubhiza na bhukangilija bho guitumama chiza imilimo yabho. Hunagwene agankomeleja bhuli munhu bho gung’wila giki, ‘itaga sambalaguna.’

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya kuitumama imilimo yabho bho bhukanjilija, kugiki bhadule uguimala wangu, na gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Kutoka 12:11.

Luka 9:1-6.

Luka 13:31.

KISWAHILI: FANYA HARAKA HARAKA

Chanzo cha msemo huo, chaangalia uhimizaji wa kufanya kazi kwa haraka haraka. Uhimizaji huo, ni ule uwezao kutekeleza kazi fulani kwa muda mfupi. Mtu anayefanya kazi pole pole, huhimizwa na wenzake kwa kuambiwa afanye haraka, ili aweze kuimaliza kazi yake mapema. Ndiyo maana watu humwambia mtu huyo kwamba, ‘fanya haraka haraka.’

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu, yule ambaye huwahimiza watu wake kufanya kazi kwa haraka katika familia yake. Mtu huyo, aelewa namna ya kuwalea vizuri watu wake, kwa kuwafundisha namna ya kufanya kazi zao kwa bidii, ili waweze kuzimaliza mapema, na kupata mafanikio mengi, maishani mwao.

Mtu huyo, huwa na mali nyingi kwenye familia yake, kwa sababu ya bidii yake ya kuyatekeleza majukumu yake hayo. Ndiyo maana yeye humfundisha kila mtu kwa kumwambia, ‘fanya haraka haraka.’

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuzitekeleza kazi zao vizuri, na kwa bidii kubwa, ili waweze kuzimaliza mapema, na kupata mafanikio mengi, maishani mwao.

Kutoka 12:11.

Luka 9:1-6.

Luka 13:31.

nziko go bhakenya

kenyan

ENGLISH: DO IT QUICKLY.

The source of the saying looks at the urgency of working fast. This urgency comes because of how something has to be done within a given time/short period of time. A person who does his/her work slowly can be encouraged to do it fast so as to get rid of it as early as possible. This is why people can encourage others by using this saying that ‘do it quickly.’

The saying can be compared to a person who encourages his/her people to work fast in doing something. This person knows better how to best take care of the family and therefore encouraging others to be fast in their doings in order to have success in the family within a very short period of time.

The saying teaches people about how to do their job well and with great effort so that they can finish it early. This can enable them to have more success in their lives.

Exodus 12:11.

Luke 9: 1-6.

Luke 13:31.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.