Imbuki ya kalagu yiniyo, ililola munhu uyo alinsatu. Ubhusatu bhunubho, bhuganzonjaga umunhu ng’wunuyo, kunguno umili gokwe gugamalaga inguzu. Isata yigenhaga bhusunduhazu, ukulinsati ubho gugayiwa ulubhango. Hunagwene umunhu ng’wunuyo, agayombaga giki, ‘ulu namanhya nu ng’wanishi wane nihondela: – bhusatu.’
Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu, uyo agagulang’hanaga chiza umili gokwe, kugiki adule gubhiza alimhola. Umunhu ng’wunuyo, agatumamaga milimo yakwe bho makanza malihu, kunguno ya wilang’hani bhokwe ubho bhugang’wambilijaga gubhiza alimhola, umuwikaji bhokwe.
Umunhu ng’wunuyo, nulu agasata aganguhaga guja kusitali, kugiki adule guping’wa, na gupandika bhugota, ubho bhudulile gumpija wangu. Hunagwene ulu osata agayombaga giki, ‘ulu namanhya nu ng’wanishi wane nihondela:- bhusatu.’
Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya kuilang’hana chiza imimili yabho, na gwanguha guja kusitali ulu bhasata, kugiki bhadule gwikala mhola na gwendelea kutumama milimo yabho chiza.
Luka 5:12-16.
Luka 5:30-32.
Luka 7:1-10.
Luka 8:40-56.
KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA
NIKIKUTANA NA ADAUI YANGU MWILI UNANYONG’ONYEA: – UGONJWA.
Chanzo cha kitendawili hicho, chaangalia mtu ambaye ni mgonjwa. Mtu huyo, huhuzunika kwa sababu ya mwili wake kukosa nguvu za kumwezesha kuzitekeleza vizuri kazi zake. Ugonjwa huo, humletea huzuni ya kufikia hatua ya kukosa raha. Ndiyo maana, mtu huyo husema kwamba, ‘nikikutana na adui yangu mwili unanyong’onyea: – ugonjwa.’
Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huutunza kwa kuuangalia vizuri mwili wake, ili uweze kuwa salama. Mtu huyo, hufanya kazi zake kwa muda mlefu, kwa sababu ya mwili wake huo, kuwa na matunzo mazuri, yauwezeshao kuwa salama, maishani mwake.
Mtu huyo, hata kama akiuugua, huwahi kwenda hospitalini, kwa ajili ya kwenda kupimwa, na kupatiwa matibabu, yawezayo kumponya haraka. Ndiyo maana mtu huyo husema kwamba, ‘nikikutana na adui yangu mwili unanyong’onyea: – ugonjwa.’
Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kuilinda kwa kuitunza miili yao vizuri, na kuwahi kwenda hosipitalini, wanapougua, ili waweze kupata matibabu yawezayo kuwaponya haraka.
Luka 5:12-16.
Luka 5:30-32.
Luka 7:1-10.
Luka 8:40-56.
ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME
WHEN I MEET MY ENEMY MY BODY BECOMES WEAK- SICKNESS.
The source of this riddle is human body and sickness. Sickness makes people feel weak physically and therefore not able to perform their daily activities. It brings grief to the point of restlessness. That is why people can say ‘when I meet my enemy, the body becomes weak – sickness’ to communicate how sickness pulls down individual’s working abilities.
This riddle can be compared to a person who takes care of his/her body by ensuring that it is safe all the time. He/she makes sure that his/her body is cared for, hospitalized in case of any abnormality, treated well and fed well with nutritious food stuff. In so doing, one’s body will avoid from meeting an enemy who can weaken it.
This rriddle teaches people about protecting their bodies from diseases by taking good care of them. This includes going to hospital in case there is any sign of sickness and feeding them well. This will enable them to be healthy all the time and thus productive for the wellbeing of the family and society in general.
Luke 5: 12-16.
Luke 5: 30-32.
Luke 7: 1-10.
Luke 8: 40-56.