476. KALAGU – KIZE. NG’WANISHI DANYAMIJAGA ALIYO DUDUNDUJA: -LIMOTO.

Imbuki ya kalagu yiniyo, ililola bhanhu abho bhalijinya libhupi. Ubhupi ulu bhubhaka, umoto gugabhizaga ntale noyi. Nulu bhagagunyamanija bhanhu bhingi, gugubhaduducha duhu, kunguno gulimoto ntale uyo bhadadulile ugugujimya. Hunagwene abhanhu bhenabho bhagayombaga giki, ‘ng’wanishi danyamijaga aliyo dudunduja: – limoto.’

Ikalagu yiniyo, yilenganijiyagwa kuli munhu uyo agatumilaga ginhu guti moto, bho nduhu gubhiza na witegeleja. Umunhu ng’wunuyo, adebhile isolobho ya moto, iyo ilikihamo na guzugila jiliwa, ulu gutumilwa umoto gunuyo na witegeleja.

Aliyo lulu, uweyi adamanile igiki, umoto gunuyo, ulu gudatumililwe na witegeleja, gudulile gwenha makoye matale, ayogalikihamo na gukenagula sabho, ijo jigabishiagwa umlibhupi liniyo. Ubhupi ulu bhubhaka bhugatabhanyaga ugubhujimya. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘ng’wanishi danyamanijaga aliyo dudunduja: – limoto.’

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bhutale, ulu bhaligutumila umoto gunuyo, kugiki gudizubhakenaguja isabho jabho, umuwikaji bhobho

Mathayo 3:11.

KISWAHILI: KITENDAWILI  –  TEGA

ADUI TUMEMZINGIRA LAKINI HATUMWEZI: – MOTO.

Chanzo cha kitendawili hicho, chaangalia watu wanaozima moto uliowaka katika maeneo yao. Moto huo, huongezeka kuwapa mpaka kufikia hatua ya kuwazidi uwezo wale wanaouzima, kwa sababu ya wenyewe kuwa mkubwa sana.

Watu wanaouzima hata wauzingile kwa wingi kiasi gani, huwa unawashinda kuuzima, kwa sababu ya moto huo kuzidi kuwa mkubwa, mpaka kufikia hatua ya kuwashinda kuuzima. Ndiyo maana watu hao husema kwamba, ‘adui tumemzingira lakini hatumwezi: -moto.’

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu, yule ambaye hutumia vitu kama vile moto, bila kuwa  na uangalifu wenye umakini. Mtu huyo, aelewa juu ya faida za moto huo, ambazo ni pamoja na kupikia, endapo moto huo utatumiwa kwa uangalifu.

Lakini basi, yeye haelewi kwamba, moto huo, ukitumiwa bila kuwa na umakini, unaweza kuleta madhara makubwa, ambayo ni pamoja na kuteketeza mali zao, kwa kuunguzwa na moto huo. Moto huo, ukiwaka, hushindikana kuzimwa na watu.  Ndiyo maana, watu hao husema kwamba, ‘adui tumemzingira lakini hatumwezi: -moto.’

Kitendawili hicho, chafundisha watu juu ya kuwa na uangalifu mkubwa kila watakapo kuutumia moto huo, ili waweze kujiepusha na madhara yanayoweza kuletwa na moto usiotumiwa kwa umakini, na uangalifu huo, maishani mwao.

Mathayo 3:11.

moto2

moto

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.

WE HAVE SURROUNDED THE ENEMY BUT WE CANNOT OVERCOME IT – FIRE.

The source of the riddle is a group of people who teamed up to blaze off the fire in their place. The flame is too high for people to extinguish it. Much as people struggle to get rid of the fire their efforts end in vein. This is why people can describe this scenario using the riddle that ‘we have surrounded the enemy but we cannot overcome it – fire.’

This riddle can be compared to a person, the one who uses such things as fire, without being careful. He/she can understand the benefits of fire, including cooking, but if not used carefully it can cause danger to people, including destruction of their property and burning them.

This riddle teaches people to be extra careful whenever they use fire. In so doing they can avoid harmful effects that are likely to come out because of fire.

Matthew 3:11.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.