473. WINGA BHO MISHANGO.

Imbuki ya kahayile kenako, yilolile wingi bho ng’wa munhu, ubho bhuli bho mishango, nulu bho wangu wangu.  Uwingi bhunubho, bhudulile gubhiza bho guja akunhu alipela, nulu bhoguja agusiminzaga. Uwingi bhunubho, hubho bhuli bho mishango. Hunagwene abhanhu abho obhaleka, bhagayombaga giki, umunhu ng’wunuyo, ‘winga bho mishango.’

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu, uyo otabhanyiyagwa mhayo, nulu nimo uyo guli ndito, wiyangula gwinga hoyi. Umunhu ng’wunuyo, agadumaga umowitile, hunagwene agiyangulaga gwinga hoyi, kunguno ogulemelagwa umhayo, nulu unimo gunuyo. Hunagwene abhanhu abhanganhayaga giki, ‘winga bho mishango.’

Akahahile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na wiyumilija bho guchola nzila ja gugamala chiza, amakoye ayo bhalinago, gutinda ugugapela, kugiki bhadule gujibheja chiza, ikaya jabho.

Mathayo 2:13-15.

Kutoka 2:11 – 15.

Mwanzo 27:41 – 45.

KISWAHILI: AMETOKA MKIKIMKIKI.

Chanzo cha msemo huo, chaangalia uondokaji wa mtu ambao ni wa kazi kutoka sehemu aliyokuwepo. Uondokaji huo, waweza kuwa wa kukimbia, au wa kutembea kwa haraka. Uondoka wa anina hiyo, ndio unaoitwa wa mkikimkiki. Ndiyo maana watu wale aliowaacha mtu huyo, husema, ‘ameondoka mkikimkiki.’

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye, ameelemewa na tatizo au neno fulani, ambalo ni zito kwake, mpaka akaamua kuondoka. Mtu huyo, hushindwa kugundua njia nyingine ya kulitatulia tatizo hilo. Hali hiyo, husababisha kwake kufikia uamuzi wa kutoka kwa kazi, kwa sababu ya kulemewa na tatizo au kazi hiyo. Ndiyo maana, watu husema juu ya mtu huyo, kwamba, ‘ameondoka mkikimkiki.’

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na uvumilivu wa kuwawezesha kutafuta njia za kuyatatua vizuri matatizo waliyonayo, badala ya kuyakimbia, ili waweze kuziendeleza vizuri familia zao.

Mathayo 2:13-15.

Kutoka 2:11 – 15.

Mwanzo 27:41 – 45.

bhalindi bha bhabhumbi

male1

ENGLISH: ONE HAS LEFT HERE HASTLY.

The origin of the above saying is the forced departure of a person from a certain place. The departure can be through running or walking. This forced departure of an individual can make people describe it using the saying that ‘one has left here hastly.’

The saying can be compared to a person who is burdened with a problem or word, which is too heavy for him to bear until he decides to quit from it. This person might be unable to find ways to solve it as a result he/she can force himself/herself to quit the place.

The saying teaches people about having patience in order to allow them to find ways to better solve their problems. Running away from them does not help to solve them.

Matthew 2: 13-15.

Exodus 2:11 – 15.

Genesis 27:41 – 45.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.