472. DALI NAWE HAHA DUHU WINGA KAB’ALAKA.

Imbuki ya kahayile kenako yilolile munhu uyo alihoya na bhiye kihamo. Umunhu ng’wunuyo, ulu winga kakanza kadoo ukunhu alisendamila gushoka ahabhiye henaho, agahayiyagwa giki, wingaga kab’alaka. Hunagwene  abhiye abho olinabho bhenabho, bhagayombaga giki ‘dali nawe haha duhu winga kab’alaka.’

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kubhanhu abho bhagatumamaga milimo yabho kihamo, na bhowiyigwi bhutale. Abhanhu bhenabho, bhagilagaga ulu umo obho uhaya gwinga hoyi.

Abho obhalekaga, bhaganindilaga bho wisagiji ung’wichabho ng’wunuyo, kunguno, bhamanile igiki agushoga duhu umumilimo yabho yiniyo. Hunagwene abhanhu bhenabho, bhagayombaga giki, ‘dali nawe haha duhu winga kab’alaka.’

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya kugutumama milimo yabho kihamo, na gulindila bho wisagiji, amafumilo ga milimo yabho yiniyo, kugiki bhadule gujibheja chiza ikaya jabho.

Yohana 16:16 – 20.

KISWAHILI: TULIKWA NAYE AMEONDOKA HIVI KARIBUNI.

Chanzo cha msemo huo, chatokea kwa mtu aliyekuwa anaongea pamoja na wenzake, akaondoka kwa muda. Mtu huyo akiondoka kwa dharua huku akitegemea kurudi baadaye, huelezewa kwamba, ameondoka hivi karibuni. Ndiyo maana wenzake aliowaaha hapo, husema kwamba, ‘tulikuwa naye ameondoka hivi karibuni.’

Msemo huo, hulinganishwa kwa watu wale ambao hufanya kazi zao kwa pamoja, na kwa uelewano mkubwa. Watu hao, huagana endapo mmoja wao akitaka kuondoka hapo.

Wale aliowaacha humsubiri kwa matumaini, kwa sababu wanaelewa kwamba, atarudi ili waweze kuendelea na majukumu yao pamoja. Ndiyo maana watu hao, husema kwamba, ‘tulikuwa naye ameondoka hivi karibuni.’

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kufanya kazi zao kwa umoja, na kusubiri kwa matumaini, matokeo ya kazi zao hizo, ili waweze kuziendeleza vizuri familia zao.

Yohana 16:16 – 20.

bhakima walitumama milimo

african-woman-

ENGLISH: WE WERE WITH HIM; HE HAS LEFT JUST NOW.

The source of the saying is coming from a person who was talking with his colleagues then left for a while. When the person leaves the scene with an expectation to return later, it is explained that he has left just now. That’s why his/her friends will say, ‘we were with him; he has left just now.’

The saying can be compared to those people who do their jobs together and with great harmony.

Those he/she has left will wait for him/her with hope, because they understand that he/she will return soon to carry on their responsibilities together. That’s why those people can say, ‘we were with him; he has left just now.’

The saying teaches people about doing their jobs together. This can enable them to finish their works on time and in a successful manner.

John 16:16 – 20.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.