467. NJA NA SUNGE AGASHOKAGA NI TONO LYAKWE.

Imbuki ya lusumo lunulo, yingilile kuli munhu uyo agagenihaga bhanhu, ukunu obhuchaga nidebe lya bhufu. Umunhu ng’wunuyo, agabhulagilagwa ng’ombe ni kaya iyo wigenihaga.

Ulu uhaya gushoka kaya, aginhagwa nyama ya ng’ombe, iyo igakomelgwa mpaga yuma. Iyiniyo hiyo agajaga nayo kaya, pye ni likunza nalyo agachalaga kukaya yakwe. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘nja na sunge agashokaga ni tono lyakwe.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu, uyo adebhile ugubhagunana abhiye bho gubhinha, ijo alinajo. Umunhu ng’wunuyo, alinabhutogwa bho ng’wang’hana ukubhiye, ubho bhugang’wambilijaga ugubhinha na bhiye ijo alinajo.

Abhanhu abho agabhinhaga ginhu, nabho bhagang’winhaga ginhu jitale gulebha nijo ofunyaga uwei. Agalenganijiyagwa nu ngeni uyo agagenihaga na sunge ya bhufu, ogashoga na nyama ya ng’ombe, kunguno nang’hwe agapandikaga jikolo, ijo aginhiyagwa na bhanhu abho agabhambilijaga. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, ‘nja na sunge agashokaga ni tono lyakwe.’

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gubhachalila ginhu josejose, abhanhu abho bhalibhageniha, na gubhagalila chiza, abhageni bhabho, kugiki bhadule guchala josejose, ukukaya jabho, ulubhashokile.

Mathayo 2:10-11.

Isaya 9:27.

KISWAHILI: APELEKAYE ZAWADI HURUDI NA ZAWADI.

Chanzo cha methali hiyo, chatokea kwa mtu yule, ambaye huanza safari ya kutembelea watu huku amebeba debe la unga. Mtu huyo, huchinjiwa ng’ombe na familia ile aliyoitembelea.

Akitaka kurudi nyumbani kwake, hupewa nyama ya ng’ombe iliyokaushwa, pamoja na ngozi yake, ambazo huzipeleka nyumbani kwake kama zawadi. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘apelekaye zawadi hurudi na zawadi.’

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule, ambaye anafahamu kuwasaidia wenzake kwa kutumia kile alicho nacho. Mtu huyo, anaupendo wa kweli kwa wenzake, ambao humsaidia katika kuwapatia wenzake hao, kile alichonacho.

Watu nao, humpatia vitu mbalimbali kama zawadi, kwa upendo wake wa kuwaletea zawadi zake. Yeye hulinganishwa na mgeni yule aliyepeleka zawadi kwa wale aliowatembelea, nao wakampatia nyama ya ng’ombe kama zawadi, kwa sababu naye, hupata zawadi mbalimbali kutoka kwa watu anaowasaidia, katika maisha yake. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘apelekaye zawadi hurudi na zawadi.’

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuwapelekea zawadi wale wanaowatembelea, na kuwapokea kwa ukarimu wageni wao, ili watakaporudi kwenda kwao, wawe na zawadi za kupeleka nyumbani kwao.

Mathayo 2:10-11.

Isaya 9:27.

working woman

ENGLISH: HE WHO GOES WITH PRESENT RETURNS WITH PRESENT.

The source of this proverb comes from a person who used to visit her relatives with a container of maize flour as her present to her host. A cow may be slaughtered for for such a person. When she wants to return home, her host finds herself obliged to give her visitor some presents that can be dried beef along with the cow’s hide to take back home. This is where the source of this proverb that ‘he who goes with present returns with present.’

The proverb can be compared to a person who knows how to help his/her friends in needy times. Such a person, by helping others, he/she is investing for his/her own future because he/she is likely to be helped when he/she needs it.

This proverb teaches people to value each other. When one pays visit he/she has to carry something as present to his/her host. In so doing, the host, in return, can do the same to him/her. This will help to strengthen friendship and togetherness.

Matthew 2: 10-11.

Isaiah 9:27.

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.