444. NDA IDAMANAGA YA KUNGONGO.

Imbuki ya lusumo lunulo yingilile kukikalile ka nda na ngongo. Inda nu ngongo jilimu mili go ng’wa munhu umo. Aliyo lulu, jidimanile, kunguno inda yili kubhutongi ya ngongo, uyo guli kunuma yao. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘nda idamanaga ya kungongo.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu, uyo wingaga aha kaya yakwe, uja hanhu. Umunhu ng’wunuyo, adumana iyo igwilongaga ahanuma yakwe, kunguno atiho koyi. Uweyi agalindilaga abho bhali kukaya yakwe bhang’wile, naayimane iyo yiligela ahaka yakwe yiniyo.

Ihali yiniyo, igalenganijiyagwa na nda iyo idimanile  iyo igwitagwa ukungongo. Iyoyi idadulile uguyimana, aliyo jili mu mili gumo. Hunagwene abhanhu bhagayomgaga giki, ‘nda idamanaga ya kungongo.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gwiyinha mhola ja gudula gung’wambilija bhuli ng’wene uguyidebha iyo yiligela ukukaya yakwe, haho wengilaga, kugiki bhadule gwikala bho bhuyegi umukaya jabho. Umuwikaji bhunubho, bhagudula gubhagunana wangu, abhanhu abho bhali na makoye, umukaya jabho.

Mithali 19:17.

 Luka 9:62.

KISWAHILI: TUMBO HUWA HALIFAHAMU YA MGONGONI.

Chanzo cha methali hiyo, chaangalia maisha ya tumbo na mgongo. Tumbo na mgongo zipo kwenye mwili wa mtu mmoja. Lakini basi, pamoja na hayo, hazifahamiani kwa sababu, tumbo liko mbele ya mgongo, ambao uko nyuma yake. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘tumbo huwa halifahamu ya mgongoni.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu yule, ambaye ameondoka nyumbani kwake, akaenda sehemu fulani. Mtu huyo hawezi kufahamu yanayotokea kule nyumbani kwake, kwa sababu yeye ametoka huko.

Yeye husubiri watu walioko kule nyumbani kwake, wampe taarifa juu ya kile kinachoendelea huko. Hali hiyo, hufananishwa na tumbo lisivyoweza kufahamu yale yanayotokea mgongoni, pamoja na vyote hivyo, kuwa katika mwili mmoja. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘tumbo huwa halifahamu ya mgongoni.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kupeana taarifa juu ya kile kinachoendelea kule walikotoka ili taarifa hizo, ziweze kuwasaidia wale walioko kwenye matatizo. Maisha hao, yataweza kuwasaidia kwa haraka wale wanaohitaji msaada huo, maishani mwao.

Mithali 19:17.

 Luka 9:62.

male1

ENGLISH: THE BELLY DOES NOT KNOW WHAT IS IN THE BACK.

The source of this proverb is the life of belly and back side of the human body. The belly and back are in the body of the same person but they don’t know each other. The belly lives in the front part of the body and the back lives in the back part of the same body.

The proverb can be compared to a person who left his/her home and went somewhere far from home and could not figure out what was going on at home. In order to know what is happening at his/her home, he/she was to depend on someone else who was left back home. Therefore, the presence of this person who was left home and the one who travelled far away from home can be likened to a relationship between belly and back.

The proverb teaches people about giving information about what’s going on in their place so that people can take up measures in case of any problem.

Proverbs 19:17.

 Luke 9:62.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.