Imbuki ya lusumo lunulo yingilile kubhulasi bho ndimu bho ningi ng’wipolu. Unasi ondimu ng’wunuyo, ulu uifuja indimu iyo uilengaga guilaga, ilisonga lwakwe, ligachimaga maswa umo ligagwilaga. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘isonga lyalya maswa.’
Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo ufuja nhola bho gumtola munhu uyo aladadeb’ile igiki alina kajile kabhubhi. Agaimana inhungwa iyabhubhi yiniyo ya ng’wiyi aho Bitola. Hunagwene umunhu ng’wunuyo agayombaga giki, ‘isonga lyalya maswa.’
Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gwita b’ukengeji bho gudula gudeb’a chiza inhungwa ja b’itoji bhabho, haho bhali ugwitola, kugiki bhadizufuja nhola guti ni lisonga ilo ligalya maswa.
1 Samweli 20:36.
Mithali 15:3.
KISWAHILI: MSHALE UMEKULA MAJANI.
Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye uwindaji wa mnyama polini, kwa kutumia mshale. Mwindaji huyo wa wanyama poli kwa kutumia mishale, akimkosa mnyama aliye mlenga, mshale wake huangukia kwenye majani. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘mshale umekula majani.’
Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu ambaye alikosea kuoa kwa kumuoa mtu ambaye hakuifahamu tabia mbaya alinayo mwenzeke huyo, kabla ya kuoana. Baada ya kuona ndipo akaigundua tabia hiyo mbaya ya mwenzake. Ndiyo maana mtu huyo husema kwamba, ‘mshale umekula majani.’
Methali hiyo hufundisha watu juu ya kufanya utafiti wa kutosha kufahamu tabia za wenzi wao watarajiwa kabla ya kuoana, ili wasize wakakosea kuoa kama ule mshale ulio kula majani.
1 Samweli 20:36.
Mithali 15:3.
ENGLISH: AN ARROW HAS EATEN GRASSES.
The source of the above saying comes from the hunting of animals in the forest by using arrows. If an arrow of the hunter misses the targeted animal, its arrow falls on the grasses. That is why people say, ‘the arrow has eaten grasses.’
This saying can be compared to a person who was mistaken for marrying a bad-mannered person. He came to realize it after marriage. This is why people can sympathize with such a person by telling him that ‘the arrow has eaten grasses.’
The saying teaches people about doing enough research to understand the behavior of their prospective mates before marriage. This will help them to have a perfect marriage partner.
1 Samuel 20:36.
Proverbs 15: 3.