361. IGULYA KULI BHEBHE.

Imbuki ya kahayile kenako yingilile kubhuchaji bho ginhu ijo jilina solobho hanhu. Iginhu jinijo, jidulile gung’wambilija unchaji ojo, na bhanhu abho alibhachalila, ulu ujishisha chiza. Kunguyo yiniyo lulu, ulu aladume ugujishisha inhulu jinijo agupandika makoye unchaji ojo ng’wunuyo. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, ‘igulya kuli b’eb’e.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agatumagwa kuchala nhulu hanhu, ijo jilina solobho, ukubhanhu, aliyo agakijaga ugujishisha. Umunhu ng’wunuyo agenhelejaga abhanhu bhakija ugwipandika isolobho ya nhulu jinijo, kihamo nu weyi agadumaga uguyipandika isolobho yiniyo. Hunagwene abhanhu bhenabho bhagang’wilaga giki, ‘igulya kuli b’eb’e.’

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gujishisha chiza inhulu ijo bhagatumagwa kujichala kub’ichabho, kugiki jidule gubhambilija ugwikala bho mholele umuchalo jabho.

Amosi 4:1-3

KISWAHILI: ITAKULA KWAKO

Chanzo cha msemo huo chatokea kwenye upelekaji wa kitu au habari fulani kwa watu. Habari hiyo yaweza kuwa na faida kubwa kwa watu wanaopelekewa na kwa mpelekaji wake, akiifikisha vizuri. Lakini asipoifikisha vizuri, mpelekaji huyo atapata matatizo. Ndiyo maana watu humwambia hivi, ‘itakula kwako.’

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu ambaye hutumwa kupeleka habari fulani, yenye faida kubwa kwake, na kwa wale anaowapelekea, lakini yeye huacha kuifikisha.

Mtu huyo husababisha wenzake washindwe kuzipata faida za habari hiyo, na yeye pia kuzikosa faida hizo. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, ‘itakula kwako.’

Msemo huo hufundisha watu juu ya kufikisha habari walizotung’wa kwa wahusika, ili waweze kuzipata habari hizo mapema kiasi cha kutosha kuwasaidie katika kuishi kwa amani na wenzao maishani mwao.

Amosi 4:1-3

business

 

 

ENGLISH: IT WILL BE UP TO YOU.

The source of the above saying comes from sharing information to people. The information can be of great importance to sender and recipients. But if he/she does not deliver it properly, the sender of information will have problems in delivering it. This is why people can tell him/her that ‘it will be up to you.’

Such a saying is compared to a person who is sent to convey certain information, which is of great importance to him and the recipients. The moment the sender fails to deliver the message as required he/she causes some people not to get the required information. Such a sender of information can be warned by telling him/her that ‘it will be up to you.’

The saying teaches people about communicating the information they have been sent to deliver. This will enable receivers of such information to get informed and make decision as required on time.

Amos 4: 1-3.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.