359. YENIYI FULO.

Imbuki ya kahayile kenako yingilile kubhuli bho jiliwa na gujileke sagala. Ulu ng’waka gubhela, ijiliwa jigapyaga mpaga ijingi jigakenagukaga, kunguyo ya gulekenijiwa nabho bhajilyaga mpaga b’iguta. Hunagwene ulu bhajibhona ijiliwa jinijo abhanhu abho bhalinabhukalalwa najo, bhagayombaga giki, ‘yeniyi fulo.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhitilaga yawiza abhanhu, guti gubhatengela jiliwa, b’ujilya na gujilekanija sagala. Abho bhajilyaga ijiliwa jinijo mbaga bhiguta, b’agajilekaga bhaja ku mihayo yabho, jandya guliwa na ngoko ijiliwa jinijo. Oho wiza umunhu uyo obhatengelaga usanga jililiwa na ngoko, uyomba giki, ‘yeniyi fulo.’

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya kuleka nhungwa ja gujidosa ijiliwa ulu bhiguta. Yigelelilwe bhab’achalile ijiliwa jinijo, abhanhu abho bhalina makoye ga nzala.

Zaburi 144:13-15.

Mwanzo 41:17-36.

KISWAHILI: HII NI SHIBE

Chanzo cha msemo huo chatokea kwenye ulaji wa chakula na kukiacha hovyo. Mwaka ukiwa mzuri, chakula hupatikana kwa wingi mpaka kingine huanza kuharibika hovyo. Hali hiyo kutokea kwa sababu ya kutelekezwa na watu walioshiba baada ya kukila. Ndiyo maana wakikiona chakula hicho watu wakithaminio, husema kwamba, ‘hii ni shibe.’

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu ambaye huwatendea wema watu, kama vile kuwapatia chakula, wakala na kukitelekeza hovyo. Baada ya kukila chakula hicho mpaka wakatosheka walikiacha, wakaenda kwenye shuguli zingine. Chakula hicho kilianza kuliwa na kuku. Alipofika mtu aliyewapatia chakula hicho, na kukuta kikiliwa na kuku, alisema kwamba, ‘hii ni shibe.’

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuacha tabia za malingo ya kudhazau chakula walapo na kushiba. Yafaa watu hao wawapelekee chakula hicho watu walio na matatizo ya njaa.

Zaburi 144:13-15.

Mwanzo 41:17-36.

watermelon

 

ENGLISH: THAT IS SATISFACTION.

The source of the above saying comes from satisfaction after having enough food. When the season is good, food gets in abundance and sometimes it ends up rotting. This can happen because of having extra food. Therefore the rotting of food is a sign of satisfaction.

The saying can be compared to someone who does good things to people, such as giving them food. After eating the food to their satisfaction, they leave it for chicken to continue enjoying it. Such people are warned by telling them that ‘that is satisfaction.’

The proverb teaches people to stop misuse food. When they are satisfied, they need to keep safely the remaining ones for future use.

Psalm 144: 13-15.

Genesis 41: 17-36.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.