358. AHO AGELELILE AMASALA GAKO NAHO ANDIJIJE AGANE.

Imbuki ya lusumo lunulo yingilile kujisumva ijo jigiiganikilaga giki jilina masala mingi noyi. Ijisumva jinijo jidazunije  igiki alihoyi ungi uyo alina masala guti joyi. Hunagwene jigayombaga giki, ‘oho agelelile amasala gako naho andijije agane.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiygwa kuli munhu uyo witulile b’ushilimju bho gubhadalaha abhiye umuwikaji bhokwe. Umunhu ng’wunuyo ahayile ayombe weyi duhu, abhangi b’adizuyomba. Hunagwene agabhawilaga abhiye giki, ‘aho agelelile amasala gako naho andijije agane.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gubhiza na widohya bho gudebha igiki, ilihoyi mingi iyo bhadayideb’ile, iyo bhadulile gulangwa na b’ichab’o abho bhayideb’ile chiza.

Gashinaga lulu, yigelelilwe abhanhu bhenabho, bhejileke inhungwa ija bhudoshi bho gub’adalaha abhichab’o, kugiki bhadule gwikala bho mholele na abhichib’o , umuwikaji bhobho.

Zaburi 14:1-3.

Zaburi 54:1-3.

KISWAHILI: PALE ZIKOMEAPO AKILI ZAKO NDIPO ZIANZIAPO ZANGU.

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye kiumbe ambacho hujifikiria kwamba kina akili nyingi sana. Kiumbe hicho hakikubali kwamba, kuna kingine ambacho kina akili kama chenyewe. Ndiyo maana kiumbe hicho humwambia mwingine kwamba, pale zikomeapo akili zako ndipo zianziapo zangu.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu ambaye hujifanya mjanja wa kuwadharau wenzake maishani mwake. Mtu huyo hutaka aongee yeye tu, wengine wasiongee. Ndiyo maana yeye huwaambia wenzake kwamba, pale zikomeapo akili zako ndipo zianziapo zangu.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuwa na unyenyekevu wa kuelewa kwamba, kuna mengi ambayo hawayafahamu, ambayo waweza kufundishwa na wenzao wanaoyaelewa vizuri. Kumbe yafaa watu hao, waache tabia za majivuno ya kuwadharau wenzao, ili waweze kuishi kwa amani na wenzao, maishani mwao.

Zaburi 14:1-3.

Zaburi 54:1-3.

arms

 

ENGLISH: MY MIND BEGINS WHERE YOURS ENDS.

The source of this saying is a person who thinks that he/she is more intelligent than others. Such a person is not likely to admit that there are other people who are more intelligent than him/her. They tend to boast themselves by saying ‘my mind begins where yours ends.’

This saying can be likened to a person who pretends to despise others in life. Such a person would like to silence others and be the only one to speak.

The saying teaches people to have the humility that enables them to understand that they are also ignorant in some of the things in life. They sometimes need to be open by accepting the teachings of others.

Psalm 14: 1-3.

Psalm 54: 1-3.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.