Imbuki ya kahayile kenako yingilile kuli munhu uyo alilya jiliwa ukunhu alimba. Umunhu ng’wunuyo agasamaga na gufunya mate umunomo gokwe. Gashinaga lulu, ulu alilya ukunhu wimba abhiye bhadutogwa ugumona alifunya jiliwa na mate umunomo gokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, ‘udalyage wimba ugutolela kule.’
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agalangaga bhanhu bhakwe nhungwa ja wiza, kugiki bhab’ize ni kujo ahikanza lya gulya. Abhanhu bhenabho bhadebhile igiki ililange yilyagwiza ligenhaga ikujo ukubhanhu bha munzengo. Nulu bhagahaya gutola abhanhu bhab’o, bhagutolela nulu bhagupandikila bihi, ab’itoji bhab’o.
Aliyo lulu, umunhu uyo adalangile chiza adab’izaga nikujo ubhanhu. Nulu agahaya gutola, umunhu ng’wunuyo agutolela kule uko bhadandeb’ile akajile kakwe. Hunagwene bhagab’alangaga abhanhu bhabho bho gubhawila giki ‘udalyage wimba ugutolela kule.’
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza ni kujo ukubhanhu umuwikaji bhobho. Yigelelilwe bhabhalange nhungwa ja wiza abhanhu bhabho.
Waefeso 6:4.
Yoeli 1:3.
KISWAHILI: USILE UNAIMBA UTAOLEA MBALI
Chanzo cha msemo huo chatokea kwa mtu alaye chakula huku akiimba. Mtu huyo huachama na kutoa mate mdomoni mwake. Kumbe basi, akila huku akiimba, wenzake hawatapenda kumuona akitoa chakula na mate kutoka kwenye mdomo wake. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘usile unaimba utaolea mbali.’
Msemo huo hulinganishwa kwa mtu ambaye hufundisha watu wake kuwa na tabia njema ili wawe na heshima wakati wa kula chakula. Watu hao hufahamu kwamba malezi mema huleta heshima kwa wanakijiji wenzao. Wenye malezi hayo, hata wakitaka kuoa, wataolea karibu na kwao kwa sababu tabia zao hujulikana kwa wenzao, zilivyo njema.
Lakini watu wenye tabia mbaya hufikiriwa kama watu ambao hawakupata malezi mema kutoka kwa walezi wao. Hivyo, hawana heshima kwa watu. Wenye tabia hiyo mbaya wakitaka kuoa wataolea mbali kule ambako hawazifahamu tabia zao kuwa ni mbaya. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘usile unaimba utaolea mbali.’
Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwa na heshima kwa watu maishani mwao. Yafaa watu hao wawafundishe watu wao tabia njema ya kuwawezesha kuishi kwa amani na wenzao.
Waefeso 6:4.
Yoeli 1:3.
ENGLISH: NEVER SING WHILE EATING, YOU WILL MARRY FAR AWAY
The source of this saying is a person who eats food while singing. Such a person opens his/her mouth and saliva comes out of his/her mouth. So, as as he/she eats that way, his/her companions do not feel good to see food and saliva from his/her mouth. That is why people say, “never sing while eating, you will marry far away from home.”
The saying is compared to a man who teaches his people good table manners so that they observe them. They know that good upbringing will bring about a moral upright society. People with good manners, if they want to marry, they will be able to get suitors in their neighbourhoods because their good character is known.
But the people who were not brought up properly are never respected by their fellows. When these people want to marry, they have to go far away from their village where their characters are not known. That is why people say, “never sing while eating, you will marry far away from home.”
The saying teaches people about having good character in their lives. These people should also teach their people good manners in order to enable them to live in harmony with others.
Ephesians 6: 4.
Joel 1: 3.