293. MAGUZU MAMALWA SI

Imbuki ya lusumo lunulo ilolile nguzu ijo jigatumamaga milimo. Imilimo yiniyo mumo igatumamilwa, itiho ugumlab’ula untumani oyo, iyoyi igamalaga nguzu ja ntumami, aha si iyo iliitumamilwa imilimo yiniyo. Kuyiniyo lulu, inguzu jidulile gumalwa ni si yiniyo.  Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘maguzu mamalwa si.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kubhanhu abho bhagajitumilaga chiza inguzu jabho umugutumima milimo ya bhuli lushugu. Abhanhu bhenabho bhalib’akamu noyi uguitumama imilimo iyo igabhenhelaga matwajo mingi, umuwikaji bhobho. B’agabhalanjaga na bhanhu bhabho ahigulya ya ugub’iza na bhukamu bhunubho, kunguno bhadeb’ile igiki ‘maguzu mamalwa si.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gongeja bhukamu bho gutumama milimo yabho, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Wagalatia 6:9-10.

Mathayo 11:12.

KISWAHILI: NGUVU HUMALIZWA NA ARDHI

Chanzo cha methali hiyo chaangalia nguvu zile zifanyazo kazi. Kazi hata kama zifanyweje haziwezi kumuumiza mfanya kazi, kwa vile zenyewe humaliza nguvu zake kwenye ardhi ile ambayo mfanya kazi yule ayatekelezea majukumu yake. Kwa hiyo basi, nguvu zaweza kumalizwa na ardhi hiyo. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘nguvu humalizwa na ardhi.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa watu wale ambao huzitumia vizuri nguvu zao katika kufanya kazi zao za kila siku. Watu hao wanabidii sana katika kufanya kazi zile ziwaleteazo mafanikio maishani mwao. Huwafundisha pia watu wao jinsi ya kuwa na bidii hiyo, kwa sababu waelewa kwamba ‘nguvu humalizwa na ardhi.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuongeza bidii ya kufanya kazi zao, ili waweze kupata mafanikio mengi, maishani mwao.

Wagalatia 6:9-10.

Mathayo 11:12.

sandworms

ENGLISH: THE LAND ONLY DRAINS ONE’S PHYSICAL POWER

The source of this proverb is connected to the power that people use during work. Regardless of the work people do, it will not harm them.The land on which one works drains his/her physical power.Thus, the land drains the power of the worker. That is why people say, “the land ony drains one’s physical power.”

The proverb above is likened to those people who make good use of their power in their daily activities. Such people work hard to succeed in their lives. They also teach their people how to be diligent because they know that “the land only drains one’s physical power.”

The proverb teaches people about putting more effort into their daily activities for them to prosper in their lives.

Galatians 6: 9-10.

Matthew 11:12.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.