294. MBULI NHUB’U IGAMALA MAPEMBE

Imbuki ya lusumo lunulo ingilile kumbuli iyo ilinhub’u. Imbuli yiniyo yapelelaga mumigunda ya bhanhu, yagalisha, undimi oyo, oyitulaga amapempe gayo. Yamanaga yulisha imbuli yiniyo yatulwa amapembe, nose gushila gub’inzwa pye, kunguno ya bhulaku bhoyo. Hunagwene abhanhu b’agayombaga giki, ‘mbuli nhub’u igamala mapembe.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo opandika jika kunguno ya bhulaku bho gusola jikolo ja bhiye. Uweyi adigwaga uguhang’wa igiki oye ugwita iyabhubhi yiniyo, umuwikaji bhokwe. Umunhu ng’wunuyo agamagaga bhita iyabhubhi yiniyo, oding’wa na bhininkili, olipishiwa. Agakenya hangi, otulwa, nose agapandika jika, nulu makoye, kunguno ya bhulaku bho gwita ya bhub’i ubho gulema guwilwa na bhiye. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga umunhu ng’wunuyo giki, ‘mbuli nhub’u igamala mapembe.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya kuleka bhulaku bho gwita ya bhubhi, na guzunya guhang’wa na bhichabho. Uwigwi bho guhang’wa bhunubho bhugub’enhela wasa bho gubhulang’hana chiza ubhupanga bhobho. Bhagupila gub’iza na jika, umuwikaji bhobho.

Yakobo 4:15-17.

KISWAHILI: MBUZI MLAFI ALIMALIZA PEMBE

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye mbuzi aliyekuwa mlafi. Mbuzi huyo alikuwa akikimbilia kwenye mashamba ya watu kwenda kulisha. Mchungaji wake alikuwa akimpiga pembe na kuzivunja. Hivyo mbuzi huyo aliendea kulisha kwenye mashamba ya watu na kupigwa pembe zake hadi kuvunjwa. Mwishowe, pembe za mbuzi huyo ziliisha kuvunjwa, kwa sababu ya ulafi wake. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘mbuzi mlafi alimaliza pembe.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu aumizwaye kwa sababu ya ulafi wa kutamani vitu vya wenzake. Mtu huyo hasikii aambiwapo kwamba aache tamaa hiyo maishani mwake. Yeye huendelea kuchukua vitu vya wenzake na kupigwa mara kwa mara. Mwishowe, atapata kilema au tatizo kubwa maishani mwake, kwa sababu ya tamaa yake ya kuchukua vitu vya wenzake. Ndiyo maana watu humwambia mtu huyo kwamba, ‘mbuzi mlafi alimaliza pembe.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuacha ulafi wa kutamani vitu vya watu wengine, na kukubali kuonywa na wenzao. Maisha hayo, yatawapatia nafasi ya kuulinda uhai wao na kueputa kupata vilema, maishani mwao.

Yakobo 4:15-17.

goat

 

ENGLISH: A GREEDY GOAT DESTROYED ITS HORNS

This proverb originates from a goat that was greedy. The goat kept on running to the fields to feed on people’s crops. Its care-taker kept on beating its horns and breaking them. The goat went on with its habit of feeding on people’s fields and its horns were beaten until they broke. Finally, the goat’s horns were completely broken because of its greed. That is why people say, “A greedy goat destroyed its horns.”

The proverb is likened to a person being hurt because of greed. Such a person does not listen when people tell him/her to stop such behaviour. He/she keeps on taking other people’s things and getting beaten up over and over again. In the end, he/she will get a disability or a serious problem in his/her life because of his/her habit of taking other people’s belongings. That is why people tell a person with such behaviour that, ”a greedy goat destroyed it horns.”

The proverb teaches people to stop being greedy for other people’s things and to accept warnings from others. This will protect their lives and avoid getting disabilities in their lives.

James 4: 15-17.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.