295. MINZI GA KULE GADAMALAGA NOTA

Imbuki ya lusumo lunulo ingilile kubhuchoji bho mingi, bho abhanhu abho bhali nikoye lya nota, umuchalo jabho. Aminzi genayo galikule nuko bhalib’azengile. Bhamanaga bhugajila aminzi genayo, bhagiza b’agang’wa, inota yabho yaduma ugushira. Ulu bhagajila hangi aminzi genayo, ikikule uko gigelelaga, inota yasangagwa yakulaga hangi, b’iza bhaduma uguimala.

Nose abhanhu bhenabho bhugumana igiki, aminzi genayo gaduimala inota yabho, kunguno galikule noyi. Bhagiyangula guchola nzila ja gugegeleja aminzi genayo, huna bhuyimala inota yabho yiniyo.  Gashinaga guligong’hana igiki, ‘mingi ga kule gadamalaga nota.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agikalaga ukob’eleja jikolo, nulu sabho ja gufumila kubhanhu bhangi, bho nduhu ugutumama imilimo, iyo ayidulile. Umunhu ng’wunuyo adagamalaga amakoye ahakaya yakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, ‘minzi ga kule gadamalaga nota.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya guitumama imiliyo iyo bhayidulile, kugiki bhadule kupandika sabho ja gubhambilija uguginja makoye, umuwikaji bhobho, kunguno aminzi ga kule gadamalaga nota.

Yohana 4:7-13.

KISWAHILI: MAJI YA MBALI HAYAMALIZI KIU

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye utafutaji wa maji, wa watu ambao walikumbwa na tatizo hilo kwenye kijiji chao. Maji hayo yalipatikana mbali na kule walikokuwa wakiishi watu hao. Walikuwa wakiyafuata mara nyingi mpaka kule mbali yaliko, wanayaleta na kuyanywa. Lakini yalikuwa hayaimalizi kiu yao kwa sababu ya kutumia mda mrefu katika kuyafuata kutoka kule mbali yalikopatikana.

Mwishowe waligundua kwamba, maji hayo ya mbali hayawezi kuimaliza kiu yao. Waliamua kutafuta njia za kuyaleta maji hayo kwenye kijiji chao, ndipo walipofaulu kuimaliza kiu yao. Kumbe ni kweli kwamba, ‘maji ya mbali hayamalizi kiu.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu ambaye huishi kwa kutafutiza vitu, au mali kutoka kwa watu wengine, bila kufanya kazi, hata zile anazoziweza. Mtu huyo hubaki akisumbuliwa na matatizo mengi kwenye familia yakwe. Ndiyo maana watu humwambia, mtu huyo, kwamba, ‘maji ya mbali hayamalizi kiu.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuzifanya kazi zile waziwezazo ili waweze kupata mali za kuwasaidia katika kutatua matatizo yao, maishani mwao, kwa sababu, ‘maji ya mbali hayamalizi kiu.’

Yohana 4:7-13.

thirsty

 

ENGLISH: DISTANT WATER DOES NOT QUENCH THIRST

The proverb comes from the story of people who experienced scarcity of water in their village. These people got water from a distant village.Since the water was found far from their village, they frequently used to fetch drinking water.However, such water did not quench their thirst because they did not fetch enough of it, and they walked for several hours to fetch water.

In the end, they realized that distant water would not quench their thirst. They decided to find ways to bring the water to their village.Then they succeeded to quench their thirst.Therefore, it is true that “distant water does not quench thirst.”

The proverb is compared to a person who does not work and lives by begging things from other people. Such a person and his/her family are likely to remain in problems.That is why people tell such a person that “distant water doesn’t quench thirst.”

This proverb teaches people to work in order get resources to help them solve their problems in their lives because “distant water does not quench thirst.”

John 4: 7-13.

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.