281. DUGULYA IJATUNGWA NGUKU

Imbuki ya lusumo lunulo ilolile kikalile ka nguku.  Inguku ilindimu ya ng’wipolu iyo idalimaga, aliyo igalyaga jiliwa bho nduhu nulu gugayiwa. Igikalaga bho gwicholela umuwikaji bhoyo, aliyo kihamo ni yiniyo, igab’izaga ilihoyi.

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kubhanhu abho bhalina nzala ya gwikala bhagwibhegejaga ijinaaguchola ijagulya.  Abhanhu bhenabho bhagicholelaga ijiliwa, gitumo jigicholelaga nguku, mpaga bhajipandika. Bhagayombaga giki, ‘dugulya ijatungwa nguku.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gwicholela jiliwa ahikanza lya makoye, guti ga nzala. Uwikaji bhunubho bhugub’inha nguzu ja gudula gugamala amakoye gabho genayo chiza.

Luka 12:22.

KISWAHILI: TUTAKULA KILE KILICHOFUNGWA NYANI

Chanzo cha methali hiyo chaangalia namna maisha ya nyani yalivyo. Nyani ni mnyama pori asiyelima mazao, lakini hula chakula bila kukosa. Yeye huishi katika mazingira ya kujitafutia chakula kila wakati.

Methali hiyo hulinganishwa kwa watu wenye njaa ya kujitafutia chakula kila wakati.  Watu hao hujitafutia chakula kama ajitafutiavyo nyani katika maisha yake.  Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘tutakula kile kilichofungwa nyani.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kujitafutia chakula wakati wa matatizo kama yale ya njaa. Maisha hayo huwapa nguvu za kuweza kumaliza matatizo yao vizuri.

Luka 12:22.

monkey

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.