258. YANGULYATI IGACHAGA DILU YANG’HONDI IGACHAGA MHINDI

Imbuki ya lusumo lumlo ilolile Ngulyati na Ng’hondi. Ingulyati jilijisugwa ijo jili nayombo iyoigolechaga bhukali bhogwikenya ubho b’ugenhelejaga nulu kaya gucha wangu, guti dilu.

Ing’hondi jilijisugwa ijo jilijilyehu. Ubhulyehu bhunubho b’ugambilijaga ugwikala hakaya kihamo bho makanza malihu. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘yangulyati igachaga dilu yang’hondi igachaga mhindi.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa na kaya ibhili: ya bhanhu bhali, na ya bhanhu bhalyehu. Ikaya iya bhanhu bhakali, idadilaga ugucha, kunguno ya yombo iyo bhalinayo abhanhu bhayo. Iyombo yiniyo igabhenhelejaga gwikenya nose nulu ikaya yiniyo igachaga bho likanza liguhi, ilo likolile na dilu. Gashinaga guligonhana igiki ‘yangulyati igachacha dilu, ya ng’hondi igachaga mhindi.’

Ikaya iyakabhili ili kaya ya bhanhu b’alyehu iyoikolile na ng’hondi. Ikaya yiniyo igalamaga kulikanza lilihu, kunguno ya b’ulyehu bho bhanhu bhenabho ubhogumana b’itongela nyalyehu. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘ya ngulyati igachaga dilu ya ng’hondi igachaga mhindi.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gub’iza bhalyehu na guleka yombo. Ubhulyehu bhunubho bhugub’ambilija abhanhu ugub’uleka ub’ukali, kugiki ikaya jabho jidule gulama chiza.

1 Kor. 13:4-7.

Mithali 10:12.

Waroma 12:9-10.

KISWAHILI: YA BEBERU HUVUNJIKA ASUBUHI, YA DUME LA KONDOO HUVUNJIKA JIONI

Chanzo cha methali hiyo chaangalia Beberu na dule la kondoo. Beberu ni mfugo wenye kelele ioneshayo ukali wa kupelekea kugombana kwa watu hao, kupelekeako hata familia kuvunjika mapema kama asubuhi.

Kondoo dume ni mfugo mwenye upole. Upole huo husaidia katika kuishi pamoja kwenye familia kwa muda mrefu. Ndiyo maana watu husema, ‘ya beberu huvunjika asubuhi, ya dume la kondoo huvunjika jioni.’

Methali hiyo hulinganishwa na familia mbili: ya watu wakali na ya watu wapole. Familia ya watu wakali haikawii kuvunjika kwa sababu ya kelele walizonazo watu hao. Kelele hizo huwaletea ugonvi upelekeao hata familia hiyo kuvunjika kwa muda mfupi, unaolinganishwa na asubuhi. Kumbe ni kweli kwamba, ‘ya beberu huvunjika asubuhi, ya dume la kondoo huvunjika jioni.’

Familia ya pili ni ya watu wapole ambayo hufanana na dule la kondoo. Familia hiyo hudumu kwa muda mrefu kwa sababu ya upole walio nao watu hao, ambao huendelea kuongozana kwa upole. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘ya beberu huvunjika asubuhi, ya dume la kondoo huvunjika jioni.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuwa na upole wa kuacha kelele maishani mwao. Upole huo utawasaidia katika kuacha tabia ya ukali ili familia zao ziweze kudumu katika pamoja katika imani kwa muda mrefu.

1 Kor. 13:4-7.

Mithali 10:12.

Waroma 12:9-10.

ram

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.