643. ABHANHU DULI MAGAB´E MAGAB´E.

Imbuki ya lusumo lunulo, yilolile bhugabhilwa bho bhuli munhu, umukikalile kakwe. Ubhugabhilwa bhunubho, bhugabhizaga bhulinganilile ni nguzu ja bhuli munhu ijo winhiwa nu Welelo, kunguno bhuli ng’wene alina kinhilwe kakwe. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘abhanhu duli magab’e magab’e.’

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo, agajitumilaga chiza nguzu ijo winhiwa nu Welelo, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agajitumilaga ijinhilwa jakwe ijo jilikihamo ni nguzu, na masala, mugwigulambija gutumama milimo yakwe, umukikalile kakwe.

Uweyi agabhambilijaga na bhiye ugujidebha ijinhilwa jabho, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umutumami bho milimo yabho. Abho bhagandekelekaga, bhagajibhejaga chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Umunhu ng’wunuyo agapandikaga sabho nyinghi umubhutumami bhokwe kunguno, adebhile ugujitumamila chiza ijinhilwa jakwe. Akikalile kakwe, kali jigemelo ukubhiye ija gujitumamila ijinhilwa jabho chiza na gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho. Hunagwene uweyi agabhawilaga abhiye giki, ‘abhanhu duli magab’e magab’e.’

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gujidebha na gutumamila chiza ijinhilwa jabho, kugiki bhadule gubhudebha ubhugabhilwa bhobho, na gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho. UMulungu agang’winhaga matwajo mingi bhuli ng’wene uyo agajitumamilaga chiza ijinhilwa ijo ong’winha.

Methali 14:13.

Mhubiri 7:3-4.

1 Wakorintho 4:7.

Mhubiri 3:13.

Waroma 12:2-6.

KISWAHILI: WATU TUNA MGAO MGAO.

Chanzo cha methali hiyo, chatokea kwenye ugawiwaji wa vipaji wa kila mmoja, katika maisha yake. Ugawiwaji huo, huwa unaendana au kulingana na nguvu alizojaliwa na Mungu kila mmoja, kwa sababu kila mmoja amepewa vipaji ambavyo viko tofauti na vile alivyopewa mwenzake. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘watu tuna mgao mgao.’

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huvitumia vizuri vipaji alivyopewa na Mungu, katika maisha yake. Mtu huyo, huvitumia vipaji vyake hivyo, ambavyo ni pamoja na nguvu, na akili zake katika kuyatekeleza vizuri majukumu yake, maishani.

Yeye pia huwasaidia wenzake katika kuvitambua na kutuvitumia vizuri vipaji vyao, ili waweze kupata mafanikio mengi, katika utendaji wa kazi zao za kila siku. Wale wanaomsikiliza hufanikiwa kupata chakula, na mali za kuweza kuwasaidia vizuri katika maisha yao.

Mtu huyo, hufanikiwa kupata mali nyingi katika utekelezaji wa majukumu yake, kwa sababu ya yeye kufahamu namna ya kuvifanyia kazi vipaji vyake katika kujipatia maendeleo. Maisha yake hayo, ni mfano wa kuigwa na wenzake, katika kuvitumia vizuri vipaji vyao, na kujipatia maendeleo mengi maishani mwao. Ndiyo maana yeye huwaambia watu kwamba, ‘watu tuna mgao mgao.’

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuvielewa na kuvitumia vizuri vipaji vyao, ili waweze kujipatia maendeleo katika familia zao, na maishani mwao, siku zote. Mungu humpatia maendeleo yule anayevitumia vizuri vipaji alivyompatia.

Methali 14:13.

Mhubiri 7:3-4.

1 Wakorintho 4:7.

Mhubiri 3:13.

Waroma 12:2-6.

ukoo

ukoo1

ukoo3

 

ENGLISH: EVERYONE HAS HIS/HER OWN TALENT.

The source of this saying is peoples’ talents. People have different talents that enable them to perform different duties in life. God, the giver of talents, ensured that not all human beings are the same in terms of knowledge about the world around them. It is through this distribution of talents that people came with the saying that ‘Everyone has his/her own talent’ to communicate different activities performed by different people in building the society.

This saying can be compared to a person who makes good use of his/her God-given talents in his/her life. This person uses his/her talents, which include his/her power and intelligence to fulfill his/her duties in life. Such a person can also assist his/her colleagues in realizing their talents and working on them in order to achieve success in life.

This saying teaches people to understand and use their talents so that they can make a difference in their families and in their daily lives. God gives development to the one who makes good use of his/her talents given by Him.

Proverbs 14:13, Ecclesiastes 7: 3-4, 1Corinthians 4: 7, Ecclesiastes 3:13, Romans 12: 2-6.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.