537. KALAGU – KIZE: OZWALA NHANZO ILALI – NZOKA.

Imbuki ya kalagu yiniyo ilolile nzoka. Inzoka yiniyo, igikalaga numo ili duhu pye amakanza. Iyoyi idagalukaga nulu hado umukikalile kayo. Iki yiikolile pye umili goyo, igikolaga n’umunhu uyo azwalile ng’hanjo. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘ozwala nhanjo ilali’ bhashosha, ‘Nzoka.’

Ikalagu yiniyo igalenganijiyagwa kuli munhu uyo obhatijiwa winhiwa ng’wenda gope. Umunhu ng’wunuyo, aginhagwa nimo go gugulang’hana ung’wenda gunuyo, mpaga agushishe ng’wigulu guligope chiniko.

Uweyi agikomeja ugwikala chiza na bhanhu, kunguno idakililwe agulang’hane umoyo gokwe gubhize gope shigu jose, mpaga agushime kuli Mulungu guli gutinumo gogejiwa ahabhubhatijiwa bhokwe. Hunagwene umunhu ng’wunuyo agabhaganilaga abhanhu giki, ‘ozwala ng’hanjo ilali’ bhashosha, ‘Nzoka.’

Ikalagu yiniyo yalanga bhabhatijiwa guhandatila gwikala muli Yesu bho gubhitila yawiza abhichabho umukikalile kabho, kugiki bhadule guishisha kuli Mulungu, imyoyo yabho yili yape chiniko.

(Marko 14:50-52; Luka 11:35-36).

KISWAHILI: KITENDAWILI    –    TEGA: KAVAA KANZU MILELE – NYOKA.

Chanzo cha kitendawili hiki chaangalia nyoka. Nyoka huwa kama alivyo wakati wote. Yeye habadilishi vazi hata kidogo maishani mwake. Hivyo, mwili wake wote hufanana na mtu aliyevaa kanzu. Ndiyo maana watu hutegeana kitendawili kwamba, ‘kavaa kanzu milele’ na kujibu, ‘Nyoka.’

Kitendawili hicho hulinganishwa kwa mtu aliyebatizwa na kupewa nguo nyeupe. Mtu huyo hupewa jukumu la kuitunza nguo hiyo, mpaga aifikishe kwa Mungu ikiwa nyeupe hivyo.

Mbatizwa huyo huendelea kuongeza bidii ya kuishi vizuri na watu, kwa sababu anatakiwa kuutunza moyo wake ili undelee kuwa safi siku zote, hadi aufikishe kwa Mungu ukiwa kama ulivyosafishwa siku ya ubatizo wake. Ndiyo maana mtu huyo huwategea watu kitendawili kwamba ‘kavaa kanzu kimoja’ nao hujibu, ‘Nyoka.’

Kitendawili hicho hufundisha watu kushikamana na Yesu maishani mwao, kwa kuwatendea mema wenzao ili waweze kuzifikisha roho zao kwa Mungu, zikiwa safi.

(Marko 14:50-52; Luka 11:35-36).

green-tree-python

basilisk-rattlesnake

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME: HE ALWAYS WEARS A ROBE – A SNAKE.

The origin of this riddle is snake. A snake is always as it is. It never changes garment (skin) in its life. Thus, its body resembles a person wearing a robe. That is why people answer ‘a snake’ to the riddle ‘He always wears a robe’.

This riddle, is used comparatively to a person baptized and given a white garment. The person is entrusted with the care of the garment, bringing it to God, as white as it were during baptism.

The baptismal candidate continues increasingly puts more efforts to live harmoniously with other people, because he/she must keep his heart clean and holy as it were cleansed during baptism until he/she meets God. That is why he/she puts up a riddle, ‘he always wears a robe’ and people reply, ‘a snake.’

This riddle teaches people about being connected to Jesus in their lives, by doing good to others, so that they can bring their souls to God as clean as they were during baptism.

(Mark 14: 50-52. Luke 11: 35-36).

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.