533. NUMBU YA WIZA GUKAMA GWILYA.

Imbuki ya kahayile kenako yingilile kuwiza bho numbu. Inumbu yiniyo ulu ili yawiza, ili nsheku iyo itina songo. Iyoyi ili yawiza noyi n’ubhogwilola;  yigankamyaga umunhu uguilya, kunguno ya wiza bhoyo. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki ‘numbu ya wiza gukama gwilya.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo ali na nhungwa ja wiza umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agikalaga na bhanhu bhingi abhobhagahoyaga nang’hwe. Abhanhu bhenabho bhagakamaga uguhoya nang’hwe kunguno ya nhungwa jakwe jinijo ijawiza. Uweyi agikolaga n’inumbu iyo ili yawiza iyo uwiza bhoyo bhugabhakamyaga abhanhu uguyilya, kunguno nang’hwe aliowiza umu nhungwa jakwe ijo jigabhakamyaga abhanhu uguhoya nanghwe. Uweyi adebhile ugubhalanja abhiye inhungwa jinijo bho kikalile kakwe, kugiki bhadule gwikala bho witogwa na mholele na bhichabho umuwikaji bhobho. Hunagwene abhanhu bhagahayaga giki ‘numbu ya wiza gukama gwilya.’

Akahayile kenako kalanga bhanhu gubhiza na nhungwa ja wiza umukikalile kabho, kugiki bhadule guhoya chiza na bhichabho umuwikaji bhobho bhunubho.

(Mathayo 12:33-37; Wagalatia 5:22-23; Ufunuo 14:13; Wakolosai 3:1-3).

KISWAHILI: KIAZI KIZURI KUJIBIDISHA KUKILA.

Chanzo cha msemo huu chatokea kwenye uzuri wa kiazi. Kiazi kikiwa kizuri huwa na muonekano mzuri kutokana na kutotopekechwa na wadudu. Chenyewe huwa kizuri sana hata kwa kukiangalia kiasi cha kuwatia walaji wake hamasa, hamu na bidii ya kukila, kwa sababu ya uzuri wake. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘kiazi kizuri kujibidisha kukila.’

Msemo huu hulinganishwa kwa mtu yule aliye na tabia nzuri katika kuishi kwake. Mtu huyo huishi na watu wengi nyumbani kwake, kwa sababu ya watu hao kujibidisha kuongea naye, kwa sababu ya uzuri wa tabia yake hiyo. Yeye hufanana na kiazi kizuri cha kutosha huwahamasisha watu kupenda kukila, kwa sababu naye ana tabia nzuri inayowahamsisha watu kupenda kuongea naye pale alipo. Yeye anafahamu pia kuwafundisha wenzake tabia hiyo njema kwa namna anavyoishi, ili waweze kuishi kwa upendo na amani na wenzao. Ndiyo maana watu husema kwamba ‘kiazi kizuri kujibidisha kukila.’

Msemo huu hufundisha watu kuwa na tabia njema maishani mwao, ili waweze kuwahamasisha wenzao kuongea nao vizuri katika kuziendeleza vizuri familia zao.

(Mathayo 12:33-37; Wagalatia 5:22-23; Ufunuo 14:13; Wakolosai 3:1-3).

sweet-potato-

ENGLISH: A GOOD POTATO BRINGS APPETITE TO EAT.

The origin of this saying is the appearance of a good-looking potato. The potato has a good appearance because insects did not bore it. It looks good to the extent of encouraging its consumers to eat it. That is why people say, ‘a good potato brings appetite to eat.’

The saying is used comparatively to refer to a good mannered person. Because of his/her good manners, the person lives well with so many people, since they desire to talk to with him/her. He/she is like a good potato that encourages people to eat it, because he/she, too, has good character that attracts people to talk to him wherever he/she is. He/she also knows how to teach others the good manners as he/she is a true living example, so that they can live in love and peace with one another. That is why people say, ‘a good potato brings appetite to eat.’

The saying teaches people about good manners, so that they attract their peers to talk with them.

(Matthew 12: 33-37; Galatians 5: 22-23; Revelation 14:13; Colossians 3: 1-3).

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.