490. WILEKA IKAYA YAKWE MASUMBI GALI HANZE.

Imbuki ya kahayile kenako, yilolile masumbi ayo galekagwa hanze na munhu nhebhe. Umunhu ulu ufunya hanze masumbi ga gwigasija, agagashoshaga mukaya, ulu uhaya gwinga. Aliyo lulu, ulu umunhu ng’wunuyo gwinga aha kaya yakwe bho nduhu ugugashosha umukaya amasumbi genayo, gagasaga haho hanze. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, ‘wileka ikaya yakwe masumbi gali hanze.’

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo opela nzala, aha ng’wakwe. Umunhu ng’wunuyo, agingaga bho nduhu ugulaga, kunguno agajaga guti alibihi, gashinaga na alisegendela.

Uweyi agalinganijiyagwa kuli munhu uyo oleka masumbi halihanze aha ng’wakwe, kunguno nang’hwe oyileka ikaya yakwe ilinzala. Gashinaga lulu, ugugachala mukaya amasumbi genayo, ikolile nu guipandikila jililwa ikaya yakwe yiniyo. Hunagwene abhanhu, bhagang’wilaga giki, ‘wileka ikaya yakwe masumbi gali hanze.’

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gwuyumilija umumayange gose ayo gakomile gwigela ahakaya jabho, na kuchola nzila ja gugamalila, kugiki bhadule gujilanghana chiza ikaya jinijo, umuwikaji bhobho.

Mathayo 6: 25-34.

Mathayo 11:28-30.

KISWAHILI: AMEIACHA FAMILIA YAKE VITI VIKIWA NJE.

Chanzo cha msemo huo, chaangalia viti vya familia vilivyoachwa nje na mtu ambaye ndiye mwenye familia. Mtu akivitoa nje viti vya kukalia, huvirudisha ndani ya nyumba, akitaka kuondoka. Lakini basi, mtu huyo akitoka nyumbani kwake bila kuvirudisha ndani vitu hivyo, hubakia pale nje. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, ‘ameviacha viti vya familia yake vikiwa nje.’

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule aliyeikimbia familia yake kwa sababu ya njaa. Mtu huyo, huondoka nyumbani kwake bila kuaga, kwa sababu ya yeye kuondoka kama yuko karibu, kumbe ndivyo anavyoenda mbali.

Yeye hulinganishwa kwa mtu yule aliyeviacha viti vya familia yake nje, kwa sababu naye aliiacha familia ikiwa na njaa. Kumbe basi, kuviingiza ndani vile viti, ni kuipatia chakula familia yake hiyo. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, ‘ameviacha viti vya familia yake vikiwa nje.’

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuvumilia katika matatizo mbalimbali, yanayowakumba maishani mwao, kwa kuyatafutia ufumbuzi wake, ili waweze kuzitunza vizuri familia zao.

Mathayo 6: 25-34.

Mathayo 11:28-30.

chairs

african

ENGLISH: HE HAS LEFT HIS FAMILY WHILE CHAIRS ARE OUTSIDE.

The source of this saying is someone who left his/her home. When someone takes his chairs outside his/her house he/she is expected to return them when leaving. But, there are people who will not dare to return them inside and therefore they are described using the saying that ‘he has left his family while chairs are outside.’

The saying can be compared to a person who flees his/her family because of famine. That peson can leave the family by pretenting that he/she is leaving for a while and soon will be back but in actual fact, he/she is leaving for good. He/she leaves the family suffering from hunger. Bringing in the chairs could mean bringing food for the family.

The saying teaches people about coping with various problems which affect their lives by looking for solutions. This can enable people to take better care of their families.

Matthew 6: 25-34.

Matthew 11: 28-30.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.