463. UYAGACHOBHAGA MBUKI ADANOGAGA.

Imbuki ya kahayile kenako, yilolile bhubhoji bho mbuki ya ginhu, nulu mhayo nhebhe. Ubhuchoji bho mbuki bhonubho, bhugamanaga bhunchala bhutongi, unchoji oyo, kunguno bhuli jito, jili na guno yajo. Hunagwene abhanhu, bhagayombaga giki, ‘uyagachobhaga mbuki adanogaga.’

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo atogilwe yombo bhuli likanza. Umunhu ng’wunuyo, agabhizaga na widumi na bhanhu, umukikalile kakwe, kunguno ya wikolosha bhokwe.

Uweyi, agalenganijiyagwa na munhu uyo agachobhaga mbuki bho nduhu ugunoga, kunguno nang’hwe adanogaga, uguyuyoga na bhanhu. Hunagwene abhanhu abhagang’wilaga giki, ‘uyagachobhaga mbuki adanogaga.’

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya kuleka nhungwa ja gutoga yombo ya gwiduma na bhanhu, kugiki, bhadule gwikala bho mholele na bhichabho, umuwijaji bhobho.

Mathayo 4:3.

 Yohane 11:47-48.

KISWAHILI: MTAFUTA CHANZO HACHOKI.

Chanzo cha msemo huo, chaangalia utafutaji wa chanzo cha kitu au neno fulani. Utafutaji huo, huendelea kumpeleka mbele mtafutaji wake huyo, kwa sababu kila tendo, au neno lina chanzo chake, au sababu ya kuwepo kwake. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘mtafuta chanzo hachoki.’

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hupenda ugomvi kila wakati. Mtu huyo, huwa na ugomvi na watu karibu kila wakati, kwa sababu ya ukorofi wake.

Yeye hulinganishwa na mtu yule atafutaye chanzo cha kila tendo au neno, bila kuchoka, kwa sababu naye, huwa hachoki kuishi katika ugomvi na watu mbalimbali. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, ‘mtafuta chanzo hachoki.’

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuacha tabia za kupenda kelele za kutafuta ugomvi na watu, ili waweze kuishi kwa amani na wenzao, maishani mwao.

Mathayo 4:3.

 Yohane 11:47-48.

music

masai- africa

ENGLISH: HE WHO LOOKS FOR QUARREL DOES NOT GET TIRED.

The source of this proverb is a person who looks for source of something. It makes someone keep on looking for it until he/she reaches a point of knowing the source of what he/she is looking for. Such a person can be described using the proverb that ‘he who looks for quarrel does not get tired.’

The proverb can be compared to a person who likes quarrels. Such a person always has quarrels with people because of his/her nuisance. Such a person can dig deeper without getting tired despite being hated by some people who might be not interested in that truth.

The proverb teaches people about ignoring the quarrel-seeking behaviours. This will enable people to have a peaceful life in their families.

Matthew 4: 3.

John 11: 47-48.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.