Imbuki ya lusumo lunulo, yilolile bhuli bho ng’wa ng’hwaja, muchalo ijo jidi jakwe. Umunhu ng’wunuyo olinyungi ogumana uja mumakaya ga muchalo umo oyungilaga.
Umo mubhuyungi bhokwe bhunubho, nose agalya ng’wigunguli ilo lidi lyakwe. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘Ng’hwaja ng’hulya agalya ha nsale gudi gokwe.’
Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo ali nshiya, nulu ng’wibhi. Umunhu ng’wunuyo agalenganijiyagwa na Ng’hwaja ung’hulya, uyo agalya higunguli ilo lidi lyakwe, kunguno nang’hwe agalyaga ijo jidi jakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga umunhu ng’wunuyo giki, ‘Ng’hwaja ng’hulya agalya ha nsale gudi gokwe.’
Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya kuleka nhungwa ja bhushiya, na wibhi, kugiki bhadule gwikala chiza na bhichabho, umuwikaji bhobho.
Mithali 6:25-26.
Waebrania 13:4.
Yeremia 2:9.
KISWAHILI: NG’HWAJA MZURURAJI ALIKULA KWENYE KIJIJI KISICHOKUWA CHAKE.
Chanzo cha methali hiyo chaangalia ulaji wa Ng’hwaja kwenye kijiji ambacho siyo chake. Mtu huyo alikuwa mzururaji ambaye alikuwa anakwenda kula kwenye miji ya watu vijijini.
Mwishowe, alikula kwenye kijiji kisichokuwa chake katika uzururaji wake huo. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘Ng’hwaja mzururaji alikula kwenye kijiji kisichokuwa chakwe.’
Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ni mzinzi, au mwizi. Mtu huyo hulinganishwa na Ng’hwaja mzururaji aliyekula kwenye kitongoji kisichokuwa chake, kwa sababu naye huyo, hula visivyokuwa vyake. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘Ng’hwaja mzururaji alikula kwenye kijiji kisichokuwa chakwe.’
Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuacha tabia za uzinzi na wizi, ili waweze kuishi vizuri na watu wao, maishani mwao.
Mithali 6:25-26.
Waebrania 13:4.
Yeremia 2:9.
ENGLISH: NG’HWAJA, THE WANDERER ATE AT THE VELLAGE THAT WAS NOT HIS.
The source of the proverb looks at Ng’waja’s wandering behaviour that made him develop behaviour of eating food in a village far from his home. Such a wanderer is being described in this proverb as someone who eats food far from his home village.
This proverb can be likened to an adulterous person or a thief. These are people who take other peoples’ belongings without their permissions. Such people with this undesirable behaviour are being warned using this proverb that ‘Ng’hwaja, the wanderer ate at the vellage that was not his.’
The proverb teaches people to break free from sexual immorality and theft. This will help people to have a very peaceful society.
Proverbs 6: 25-26.
Hebrews 13: 4.
Jeremiah 2: 9.