417. UBHUYEGI BHO WINGA BHUGALUKA GUBIZA JIGANO.

Imbuki ya kahayile kenako yingilile kubhanhu abho bhalihawinga. Ulu gwigela mhayo go gukamaja hoyi, guti ntolwa guja gujilekeleja na ugapulwa na ngosha ungi, ubhuyegi bhugashilaga. Hunagwene abhanhu bhagayomgaga giki, ‘ubhuyegi bho winga bhugaluka gubhiza jigano.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agayegaga ogita na mihayo ya soni, umuwikaji bhokwe. Umunhu ng’wunuyo adulile nulu gulya jiliwa wiguta mpaga wandya gubhasondagula abhanhu bhakwe. Hunagwene abhanhu bhenabho bhagayomgaga giki ‘ubhuyegi bho winga bhugaluka gubhiza jigano.’

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya kuleka gwita mihayo ya guponda soni abhanhu, umuwikaji bhobho, kugiki bhadule gwikala na bhuyegi bhobho, shigu jose.

Matendo ya mitume 9:1-9.

KISWAHILI: FURAHA YA HARUSI IMEGEUKA KUWA HADITHI.

Chanzo cha msemo huo chatokea kwa watu walioko kwenye sherehe ya harusi.  Likitokea tukio la kushangaza, kama vile bibi harusi kwenda kujisaidia na kutoroshwa na mwanaume mwingine, furaha yile waliyokuwa nayo watu huisha. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘furaha ya harusi imegeuka kuwa hadithi.’

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hufurahi mpaka kufikia hatua ya kufanya vitendo vya aibu mbele ya watu aishio nao.

Mtu huyo aweza hata kula chakula akashiba na kuanza kuwasimanga watu wake. Ndiyo maana watu hao husema kwamba, ‘furaha ya harusi imegeuka kuwa hadithi.’

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuacha kusema maneno ya kuwaibisha watu, maishani mwao, ili waweze kuishi kwa furaha na wenzao siku zote.

Matendo ya mitume 9:1-9.

active couple

escape

 

ENGLISH: THE WEDDING HAPPINESS HAS TURNED INTO A STORY.

The source of the above saying comes from the wedding ceremony. During wedding ceremony we expect most of the people to be in a jovial mood. But, it may happen that the bride leaves the stage for a short call then instead elopes for another man thus causing the entire ceremony turn into a traumatic story. When it happens so, people can say ‘the wedding happiness has turned into a story.’

This saying can be compared to a person who enjoys something to the point of committing acts of shame in the eyes of other people around that place. This person, because of extreme joy, may overfeed thus, instead of making people continue enjoying the event they end up getting a new and tragic story of someone who suffers from overfeeding.

The saying teaches people to stop making derogatory remarks. This will enable them to have good life people around them.

Acts 9: 1-9.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.