412. NAJILE KASEGENO.

Imbuki ya kahayile kenako yingilile kuli kulugendo lo guja kule. Unsiminzi  o lugendo lunulo, agabhizaga na mapinja pinga, umunzila iyo aliyibhitila.

Aliyo lulu, uweyi adebhile ubhulimu bho lugendo lunulo. Hungwene umunhu ng’wunuyo ulu obhona giki alihaya gutindikwa, agayomgag giki ‘najile kasegeno.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhuchaga nimo ogutumama mpaga ogumala chiza. Umunhu ng’wunuyo agadililaga imilimo yakwe bho guyitumimama na bhukamu bhutale.

Uweye agayitulaga lwande imihayo iyo idulile gundija uguyimala wangu imilimo yakwe. Hunagwene umunhu ng’wunuyo agayomgaga giki, ‘najile kasegeno.’

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gudilila mimimo yabho bho guyitumama na bhukamu bhutale, mpaga bhayimale, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi umuwikaji bhobho. Yigelelilwe abhanhu bhenabho bhayituule lwande imihaho iyo idulile gubhatindika uguyimala wangu imilimo yabho yiniyo.

Luka 24:27 – 29.

KISWAHILI: NAKWENDA MBALI.

Chanzo cha msemo huo chatokea kwenye safari ya kwenda mbali. Safari hiyo huwa na mapingamizi mengi ambayo msafiri huo huyapitia.

Lakini yeye afahamu ugumu wa safari yake hiyo. Ndiyo maana mtu huyo akikumbana na hali ya kumchelewesha njiani, husema kwamba, ‘nakwenda mbali.’

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huanza kazi zake na kuzitekeleza mpaka mwisho. Mtu huyo hufuatilia kwa makini katika kuzifanya kwa bidii kubwa kazi zake hizo. Yeye huyaweka pembeni maneno mengine ambayo yataweza kumchelewesha kuzimaliza vizuri kazi zake hizo. Ndiyo maana mtu huyo husema kwamba, ‘nakwenda mbali.’

Msemo huo hufundisha watu juu ya kufuatilia kazi zao kwa kuzitekeleza kwa bidii kubwa mpaka mwisho, ili waweze kupata mafanikio mengi maishani mwao. Yafaa watu hao wayaweke kando maneno yawezayo kuwachelewesha katika kuzimaliza mapema kazi zao hizo.

Luka 24:27 – 29.

african-descent

 

ENGLISH: I AM GOING FAR.

The source of this saying is a distant journey. Such a journey has many obstacles but the traveler is aware of them. It is through his/her awareness that he/she says ‘I am goin far’ to mean that he/she doen’t have to be stopped unnecessarily in his/her journey.

This saying can be compared to a person who begins his/her work and carries it through to the end. Such a person carefully follows the agreed procedures with due diligence in order to make sure that he/she finishes the journey safely.

The saying teaches people to follow their careers by doing what is considered right in order to have success in life. They should put aside drawbacks that are likely to affect their journeys.

Luke 24:27 – 29.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.