Imbuki ya kahayile kenako yingilile ku mahoya ga bhanhu bhab’ili. Umumahoya genayo bhuli ng’wene agang’wilaga ung’wiye giki, aje hadoo, kugiki bhadule gulungana. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘jaga jaga nang’ho.’
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kubhanhu abho b’aligulila jikolo jileb’e. Abhanhu bhenabho, bhagiinhaga ndima ja guyomba b’uli ng’wene.
Unjinja o jikolo alio gwandya uguguyomba umpango gokwe. Unguja ojikolo nang’hwe aguyomba ihela ijo alihaya gujigulila ijikolo jinijo.
Abhanhu bhenabho, bhagamanaga b’iwila giki, jaga jaga hadoo, kugiki bhadule ugwizunijija umpango go gwigulila ijikolo jinijo. Hunagwene abhanhu bhenabho, bhagayombaga giki, ‘jaga jaga nang’ho.’
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gwidegeleka chiza na abhichab’o umumahoya, nu muwikaji bhobho, kugiki bhadule gwiyelelwa chiza.
Walawi 25:6.
KISWAHILI: NENDA NENDA NA WEWE.
Chanzo cha msemo huo chatokea kwenye maongezi ya watu wawili. Katika maongezi hayo, watu hao, kila mmoja humwambia mwenzake aende kidogo, kwa maana ya kuongeza kidodo, ili waweze kukutana au kukubaliana kiwango fulani ambacho kila mmoja atakuwa ameridhika nacho. Ndiyo maana watu hao husema kwamba, ‘nenda nenda na wewe.’
Msemo huo hulinganishwa kwa watu wale ambao wanauziana kitu fulani. Watu hao hupeana zamu za kuongea kila mmoja.
Muuzaji huwa wa kwanza kutaja bei yake. Ndipo naye mnunuzi wa kitu kicho, hutaja kiasi cha pesa ambacho atakinunulia kitu hicho.
Watu hao huendelea kuambiana kila mmoja aende kidogo, maana yake aongeze, kama ni mnunuzi, au apunguze kama ni muuzaji, ili waweze kukubalina bei ambayo kila mmoja wao ataridhika. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘nenda nenda na wewe.’
Msemo huo hufundisha watu juu ya kusikilizana katika maongezi na katika maisha yao, ili waweze kuelewa vizuri.
Walawi 25:6.
ENGLISH: YOU ALSO GO A LITTLE MORE.
The source of the above saying comes from two-way conversation. In this conversation, the buyer and seller negotiate on price of a certain commodity. Each one of them would want the other to either reduce the price or increase it (for the buyer and seller respectively). It is through negotiation of price where we get this saying that ‘you also go a little more.’
This saying can be compared to a person selling certain items. The seller is always liable to negotiate for prices with his/her customers. The seller will always specify the price which the buyer will bargain in order to get the desired item in the price he/she would manage. In such a scenario, they keep on bargaining until all of them reach to agreement.
This saying teaches people to listen to each other in conversation and in their lives. This will enable them to understand each other.
Leviticus 25: 6.