403. UNG’WOLO ATAPANDIKAGA JOSE JOSE.

Imbuki ya lusumo lunulo yingilile kubhudumi bho gupandika jikolo, kunguno ya b’ukokolo bho gutumama milimo bho jisumva jileb’e. Ijisumva jinijo jidahayile ugutumama imilimo yajo. Ijoyi jidahayile ugwilulya, kunguyo ya bholo bhojo. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘ng’wolo adapandikaga josejose.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo alingokolo ugutumama imilimo yakwe. Umunhu ng’wunuyo adatogilwe uguguluhya umili gokwe.

Uweyi atogilwe gwikala wigashije duhu. Kuyiniyo lulu, uweyi adapandikaga isabho, Agikalaga wilombeleja kubhanhu bhangi, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, ‘ng’holo adapandikika josejose.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya kutumama milimo yabho na bhukamu bhutale, kugiki bhadule gupandika jikolo ja gujib’eja chiza ikaya jabho.

Wafilipi 2:12.

1 Petro 3:6-10.

KISWAHILI: MZEMBE HAPATI CHOCHOTE.

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye hali ya kushindwa kupata mali kwa kiumbe ambaye ni mvivu wa kufanya kazi. Kiumbe huyo hataki kuutesa mwili wake kwa kuufanyisha kazi hizo. Yeye hutaka kukaa tu na kula chakula apewacho, kwa sababu ya uvivu wake. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘mzembe hapati chochote.’

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu ambaye ni mvivu kufanya kazi zake. Mtu huyo hapendi kufanya kazi zake. Yeye hupenda kukaa tu.

Kwa hiyo basi, yeye hapati mali ya kutosha kumsaidia maishani mwake. Yeye huishi kwa kuomba omba tu. Kwa hiyo basi, yeye hapati mali itakiwayo kumwezesha kuishi bila kuomba omba, kwa watu wengine Maishani mwake. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘mzembe hapati chochote.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kufanya kazi kazi zao kwa bidii kubwa, ili waweze kujipatia mali za kuwasaidia ndugu zao mbalimbali maishani mao.

Wafilipi 2:12.

1 Petro 3:6-10.

lazy-1458443__340

lazy one

ENGLISH: A LAZY PERSON DOES NOT GET ANYTHING.

The source of the above proverb stems from an inability to get wealth from a lazy person. Such a person does not want to torture his/her body by working hard. He/she just wants to sit and eat food given by others. This person is likely to end up having nothing in life. To describe such a person, one can use the proverb that ‘a lazy person does not get anything.’

This proverb can be compared to a person who is lazy in doing his/her work. He/she does not like to work thus he/she does not have enough wealth to support his/her life. He/she depends on begging from others. Such a person ends with nothing in life. His/her behaviour is described by the proverb ‘a lazy person does not get anything.’

The proverb teaches people to do their jobs in order to earn enough money that can help in different activities.

Philippians 2:12.

1 Peter 3: 6-10.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.