401. YASHINGA MU MINZI IDELAGA.

Imbuki ya lusumo lunulo yilolile bhutalamu bho jisumva. Jilihoyi jigano ja bhanigini ijo jolechije chiza. Ijigano jinijo jihayile giki: lushugu lumo bhugigela wikindi bhutale kuli ntemi o ndimu, uyo ahayaga kugamana giki, ni nani alintalamu gukila pye.

Indilo ja munyanza ya Victoria jigaja jiligimba noyi giki jidulile gukinda, kunguno ijoyi jigikalaga muminzi. Ijoyi jahayaga giki jiduduma ugukinda. Gahayugiza mafumilo, jukindwa kihamo nu gwikala gojo makanza gose umuminzi.

Ingegelehya najo jigaja jajimaga masalu pye imimili yajo, jiza na ndilo ja bhululu umunhingo jajo, ng’wina najo na mafurushi ga nyama umumino gajo, na jingi ningi. Pye ijinijo jigapejiwa wangu.

Ahikanza linilo, jigiza hoyi ndimu guti: nguruwe, nguku, ndulu, jibhegelejaga chiza noyi, bho gwikula jela chiza mpaga jukinda, umuwikindi bhunubho.

Ubhulungwa bho lusumo lunulo bhuli hape: udiziiganikila ihali yako giki itoshije ugubhushigila ubhupandiki ubhutale. Igelelilwe wigulambije na udizibhudalaha uwigulambija bhunubho, kugiki udule gupandika, umubhuchoji bhoko.

Luka 3: 8-9.

Katika Luka 10: 25-37.

Luka 17: 11-19.

Mathayo 25: 31-46.

KISWAHILI: KUKAA MUDA MREFU NDANI YA MAJI SI KUTAKATA.

Chanzo cha methali hiyo hapo juu chaangalia asili ya usafi. Kuna hadithi kwa ajili ya watoto, ambayo ina maelezo kamili. Hadithi hiyo, inasema kwamba: siku moja ushindani mkubwa ulielekezwa kwa ufalme wa wanyama, ili kufahamu juu ya nani aliye msafi zaidi ya wote.

Samaki wa Ziwa Victoria walifika walijiona fahari sana kwa kujidhania kwamba, hawawezi kushindwa, kwa sababu wao wanaishi ndani ya maji. Matokeo yake, hawakujali usafi wao wakati siku kuu ilifika, wakashindwa.

Kaa nao walijitokeza wakiwa na mchanga pande zote za miili yao, samaki walio na rangi ya bluu shingoni mwao, mamba nao walifika na vifurushi vya nyama katika meno yao, na kadhalika. Wakafukuzwa haraka kwa kazi.

Wakati huo huo, wanyama kama vile: nguruwe, nyani na punda wafika wakiwa wamejiandaa vizuri sana, kwa kujisugua vizuri, kwa uchungu wa kutosha kujiosha kwa bidii, mpaka walishinda.

Mafundisho ni wazi: Usiifikirie hali yako kuwa inatosha kuyafikia mafaniko fulani bila kuwa na dibii yoyote, ili uweze kuyafikia hao unatakiwa kuwa na bidii.

Usipuuze bidii hiyo, ili kufanikiwa katika maisha iendeleze bidii hiyo mpaka uyafikie mafanikio hayo.

Luka 3: 8-9.

Katika Luka 10: 25-37.

Luka 17: 11-19.

Mathayo 25: 31-46.

fish1

ENGLISH: TO STAY A LONG TIME IN THE WATER DOES NOT MAKE YOU CLEAN.

The source of the above proverb looks the essence of cleanness.  There is a story for children, that has the details. It says: one day a great competition was addressed to the animal kingdom in order to find out who was the cleanest of all.

Fish of the Lake Victoria felt very proud by telling themselves that, because they live in the water, they cannot be defeated. As a result, they did not care about their cleanliness when the great day arrived.

Crabs presented themselves with sands all over their bodies, fish with algae around their necks, crocodiles with meat parcels between their teeth and so on. They were quickly dismissed.

Meanwhile, animals such as: pigs, monkeys or donkeys prepared themselves very well, by taking pains to wash themselves and were consequently winners.

The teaching is plain: Do not assume your condition is sufficient in order for you to reach a certain achievement. Do not neglect hard work in order to succeed.

Luke 3: 8-9.

In Luke 10: 25-37.

Luke 17: 11-19.

Matthew 25: 31-46.

fish

4 comments

 1. We congratulate Paschal, a Sukuma seminarian from Shinyanga Diocese, studying at Segerea Major Seminary in Dar es Salaam, Tanzania for this excellent article. May it inspire more young people from his generation to do research and writing on Sukuma culture.

  Liked by 1 person

 2. Thank you very much for your appreciation! We are the ones to love our own culture and inspire other people to know it, because evangelisation loses much of its force and effectiveness if it does not take into consideration the actual people to whom it is addressed, if it does not use their language, their signs, their symbols, if it does not answer the questions they ask, and if it does not have an impact on their concrete life. In this article I have tried to show how our Sukuma ancestors had this concept of God

  Like

 3. Paschal paraphases No. 63 in St. Pope Paul VI’s Apostolic Exhortation “On Evangelization in the Modern World” that was published in 1975: “Evangelization loses much of its force and effectiveness if it does not take into consideration the actual people to whom it is addressed, if it does not use their language, their signs and symbols, if it does not answer the questions they ask, and if it does not have an impact on their concrete life.”

  Like

 4. Excellent photos to go along with the Sukuma Proverb: “TO STAY A LONG TIME IN THE WATER DOES NOT MAKE YOU CLEAN. The clean fish and the monkey and pig.

  Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.