385. B’ANANGWA B’ALYA NA MBOZU

Imbuki ya kahayile kenako yingilile kukikalile ka b’anangwa. Ikale bhaliho b’atongeji ab’o b’itanagwa b’anangwa. Ulu munhu wiliwa b’ujiku olalaga hali ng’wanangwa. Mumo agab’izila umunhu ng’wunuyo, nulu ab’ize alina mbiji, adupejiwa. Hunakub’iza kahayile igiki, ‘b’anangwa b’alya na mbozu.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo adakomanyaga abhanhu aha ng’wakwe. Umunhu ng’wunuyo agab’abokelaga pye abhanhu na gub’agola chiza bho gub’achumbela majiliwa. Uweyi agalyaga na b’iza na bhab’i. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki. ‘b’anangwa b’alya na mbozu.’

Akahahile kenako kalanga bhanhu higulya ya kuleka nhungwa ja gub’akomanya abhanhu, kunguno  ya kigelele kab’o, kugiki bhadule gwikala bho mholele na bhichabho, umuwikaji bhobho.

Mathayo 11:28.

Matendo ya mitume 10:34.

KISWAHILI: WAJUMBE WALA NA VILIVYOOZA

Chanzo cha msemo huo chatokea kwenye maisha ya wajumbe wa vitongoji. Zamani walikuwepo viongozi waliojulikana kama wajumbe. Mtu akifika usiku kwenye kitongoji hicho, alilala kwa wajumbe hao. Watu wa aina mbalimbali walilala, hata na wale wenye ukoma walilala kwa wajumbe hao. Ndiyo ukawa msemo kwamba, ‘wajumbe wala na vilivyooza.’

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu ambaye habagui watu nyumbani kwake. Mtu huyo huwakaribisha wote na kuwatunza kwa kuwapatia chakula kizuri. Yeye hula na wazuri na wabaya pia. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘wajumbe wala na vilivyooza.’

Msemo huo hufundisha watu juu kuacha tabia za kubagua watu kwa sababu ya muonekano wao mbaya, ili waweze kuishi kwa amani wa wenzao maishani mwao.

Mathayo 11:28.

Matendo ya mitume 10:34.

 

racial-segregation

migration

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.