384. NG’WANA GAHI AGALALA HA MAMBO.

Imbuki ya lusumo lunulo yingilile kubhukalib’usha bho bhageni ha indili yakwe, ung’wana Gahi, uyo agalala ha mambo. Imambo gali manti ayo gagapunzagwa gakomelwa ndili. Ulu Yuma indili yiniyo, gasagaga hoi mapundu ayo ung’wana Gahi agawilya na b’iye aha b’alib’alile giki, ‘egelelaga koyi,’ nose agashiga kumhelo ya ndili, niyo ni yakwe. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘Ng’wana Gahi agalala ha mambo.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo alina wizang’holo bho mpaga gujiyib’a nu weyi. Umunhu ng’wunuyo agabhabhonelaga jisa abhageni b’akwe. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘ng’wana Gahi agalala ha mambo.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gub’iza na wizang’holo bho gub’akalib’usha abhageni bhab’o na gub’agola chiza, kugiki bhadizuluha abhanhu bhabho bhenabho.

I Petro 2:18 -25.

I Pet 3:16 -19.

Ufunuo 2:3.

KISWAHILI: NG’WANA GAHI ALILALA PEMBENI KWENYE MITI.

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye ukaribishaji wa wageni katika ngozi yake ng’wana Gahi, aliye lala pembeni kwenye miti. Miti hiyo huchongwa kiasi cha kutosha kupigiliwa kwenye ngozi kwa lengo la kuikausha. Ngozi hiyo ikikauka, miti hiyo huacha matundu ambayo ng’wana Gahi aliyalalia. Alikuwa akiambiwa ‘sogea huko’ mwishowe akalila kwenye matundu hayo yaliachwa na miti hiyo ya kukaushia ngozi. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘ng’wana Gahi alilala pembeni kwenye miti.

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu mwenye ukarimu wa kuwakaribisha wageni mpaka anajisahamu yeye mwenyewe.  Mtu huyo huwahurumia wageni wake zaidi kuliko ajihurumiavyo yeye. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘ng’wana Gahi alilala pembeni kwenye miti.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuwa na ukarimu wa kuwakaribisha wageni na kuwatunza vizuri, ili wasiteseke watu wao hao.

I Petro 2:18 -25.

I Pet 3:16 -19.

Ufunuo 2:3.

baby sleeping

hospital

 

ENGLISH: NG’WANA GAHI SLEPT ON THE CORNER ENDS.

The source of this saying comes from the reception of strangers. A host who is used to sleep on the animal hide receives his/her visitor and they both sleep on the animal hide. Because of the small size of the hide, the host is forced to squez himself/heself to the extent of sleeping on holes used for pegging the hide. When this happened, people could say, ‘ng’wana Gahi slept on the corner ends’ to mean extreme kindness to the visitor.

The saying can be likened to a hospitable person who feels remorse for others. Such a person feels more pity for his guests than for himself/herself. That is why such people are being described as people who ‘sleep on the corner ends.’

The saying teaches people about generosity and hospitality to others.

I Peter 2:18 -25.

I Pet 3:16 -19.

Revelation 2: 3.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.