377. CHELEMENGO ADALYAGA JABHUBHI

Imbuki ya kahayile kenako yingilile kubhuli bho jiliwa jawiza bho ng’wa Chelemengo. Ijiliwa jinijo jigaliyagwa bho bhuyegi, kunguno ya wiza bhojo ubho b’ugan’winhaga unii ojo, nhumbu nhale ya kujilya.

Aliyo lulu, ijiliwa ija bhub’i jiginjaga inhumbu ya gujilya, kunguno amiso ga bhali bhajo, gadatogagwa ujibhona. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘Chelemengo adalyaga jab’ub’i.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agikalaga na nhungwa jawiza umuwikaji bhokwe. Umunhu ng’wunuyo agabhalelaga chiza abhanhu bhakwe, kunguyo ya kikalile kakwe akagubhatogwa na gubhambilija abho bhali mumakoye. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘Chelemengo adalyaga jab’ub’i.

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya kuleka nhungwa ja b’ub’i, umuwikaji bhobho, kugiki bhadule ugwikala bho mholele na b’ichab’o.

Luka 16: 3-4.

Luka 16:19.

KISWAHILI: CHELEMENGO HALI VYAKULA VILIVYO VIBAYA

Chanzo cha msemo huo chatokea kwenye ulaji wa chakula kilicho kizuri, wa Chelemengo. Chakula hicho huliwa kwa furaha na walaji wake, kwa sababu ya uzuri ambao humpa mlaji hamu ya kuendelea kukila.

Lakini basi, chakula kilicho kibaya au kichafu, huondoa hamu ya kukila kwa walaji wake. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘Chelemengo hali vyakula vilivyo vibaya.’

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu ambaye huwa na tabia njema maishani mwake. Mtu huyo huwalea vizuri watu wake, kwa sababu ya mwenendo wake mzuri, wa kuwapenda watu na kuwasaidia wenzake walioko kwenye matatizo, maishani mwao. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘Chelemengo hali vyakula vilivyo vibaya.’

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuachana na tabia za kutenda maovu, maishani mwao, ili waweze kuishi kwa amani na wenzao.

Luka 16: 3-4.

Luka 16:19.

steak-

ENGLISH: CHELEMENGO DOES NOT FEED ON BAD FOOD.

The source of the above saying comes from Chelemengo and its habit of eating good food. This food, because is good, it is happily eaten by its consumers and it gives them the desire to continue eating it. On the contrary, bad food takes off the consumers’appetites. This is why people say ‘Chelemango does not feed on bad food’ to mean the need for having good food in life.

This saying can be compared to someone who has good manners in life. Such a person is likely to nurture other people well because of his/her good conduct, loving people and helping others.

The above saying teaches people to break free from evil practices in their lives so that they can live in peace with others.

Luke 16: 3-4.

Luke 16:19.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.