344. NG’WANANGWA IDASHILAGA

Imbuki ya lusumo lunulo yingilile kuwilangi bho ginhu jipya. Uwilangi bhunubho bhukomile gumpandika umunhu kumakanza gose gose, ib’ize hab’undoo, nulu habhutale bhokwe. Hangi umunhu ng’wunuyo nulu agasoma mpaka umala amasomo gakwe, adubhiza giki, wilangaga pye uyimala impya, igub’iza yilihoyi duhu yiyo atali uguimana. Adulile gulangwa ginhu jipya na munhu uyo adasomile nulu hadoo. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘ng’wanangwa idashilaga.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kubhanhu abho bhalinawidohya bho kuzunya kulangwa na bhichabho, abho bhagikalaga nabho. Gashinaga umunhu nulu agab’iza ntale, gugikalaga gulihoyi duhu umhayo uyo adagumanile na agulangwa. Hunagwene abhanhu bhagayomgaga giki, ‘ng’wa nangwa idashilaga.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu hugulya ya kub’iza na widohya bho gubhambilija guzunya gulangwa nabhichab’o, iyo bhatali uguyimana, kunguno i‘ng’wanangwa idashilaga.’

Mathayo 6:7-9.

Luka 11:1-4.

Mathayo 13:54.

KISWAHILI: YAKUFUNDISHWA HAYAISHI

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye ufundishwaji wa kitu kipya. Ufundishwa huo, waweza kumfikia mtu wakati wowote, akiwa kijana au mzee. Tena mtu huyo hata asome namna gani, hataweza kuyamaliza yote yakujifunza, kitakuwepo tu kile ambacho yeye hakifahamu. Aweza kufundisha kitu hicho kipya, hata na mtu aliye mdogo ambaye hategemewi. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘yakufundishwa hayaishi.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa watu ambao wana unyenyekevu wa kukubali kufundishwa kitu kipya na wenzao waishio nao. Kumbe, mtu hata awe mkubwa kiasi gani, au amesoma hadi kiwango cha juu zaidi, yatakuwepo tu yale ambayo yeye hayafahamu. Ndiyo maana watu husema, ‘yakufundishwa hayaishi.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuwa na unyenyekevu wa kuwawezesha kukubali kufundishwa na wenzao, yale ambayo hawajayafamu, kwa sababu, ‘yakufundishwa hayaishi.’

Mathayo 6:7-9.

Luka 11:1-4.

Mathayo 13:54.

teacher

ENGLISH: EDUCATION HAS NO END.

The source of the above proverb comes from the teaching of something new. Knowledge has no age. No one can claim to know each and everything on earth. One can be taught by any other person regardless of age differences and education level. This is why people say, ‘education has no end.’

The proverb can be compared to people who have the humility to accept teaching from others regardless of education level and age differences.

The proverb teaches people to have humility that allows them to accept teaching and training from others in order to get knowledge that they are lacking.

Matthew 6: 7-9.

Luke 11: 1-4.

Matthew 13:54.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.