345. HIMBA NDA JIZA NA JIZA JIDATUNG’WANAGA.

Imbuki ya lusumo lunulo yilolile ginhu jiza. Yijiza yinijo jidulile gub’iza sab’o, nulu ginhu jose jose. Umunhu adulile gupandika sabho, aliyo ugayiwa abhana, nulu upandika abhana bhenabho, aliyo ugaiwa isab’o. Gudulile gwigela nzengo uyo gugaponaga jiliwa, aliyo gugaiwa aminzi. Hunagwene abhanhu bhagayombagaga giki, ‘hinba nda jiza na jiza jidatung’wanaga.’

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agongile gujisangila halumo, pye ijo jilijawiza. Umunhu ng’wunuyo ulu uhaya kuchola nulu nzengo, agamanaga uja ukwene, agasanga hamo jiliwa bhaponile abhanhu, aliyo badina minzi.

Abhanhu abho bhadebhile igiki ijiza jidatung’wanaga, bhagang’wilaga umunhu ajidimile ijawiza ijo alinajo, kunguno adiko gujisangila halumo pye ijo jilijawiza. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, ‘hinba nda jiza na jiza jidatung’wanaga.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya kulilang’hana chiza ijiza ijo bhalinajo, badizulindila gujisangila halumo pye ijo jijawiza, kunguno ijiza na jiza jidatung’wanaga.

Mathayo 6:24.

Luka 16:13.

KISWAHILI: PIGA TUMBO KIZURI NA KIZURI HAKIKUTANI

Chanzo cha methali hiyo chaangalia kitu kizuri. Kitu hicho kizuri chaweza kuwa mali, au kitu chochote. Mtu aweza kupata mali, lakini akakosa watoto, au aweza kupata watoto, lakini akakosa mali. Chaweza kuwepo kijiji ambacho kina mazao mengi, lakini hakina maji.  Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘piga tumbo kizuri na kuzuri hakikutani.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu ambaye hutaka kuvikuta vizuri vyote vikiwa pamoja. Akitaka kutafuta makazi mtu huyo, hutembelea sehemu mbalimbali, ambako hukikuta kizuri kimoja na kingine hukosekana.

Watu waelewao kwamba, kizuri na kizuri hakikutani, humsahauri mtu huyo juu ya kukitunza kizuri alicho nacho, badala ya kuzunguka huko na huko akitaka kuvikuta vizuri vyote vikiwa pamoja. Ndiyo maana watu husema, ‘piga tumbo kizuri na kizuri hakikutani.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kukitunza kizuri walicho nacho, wasisubiri kwamba watavikuta vizuri vyote vikiwa pamoja, kwa sababu kizuri na kizuri hakikutani.

Mathayo 6:24.

Luka 16:13.

ngorongoro

pears

 

ENGLISH: GOOD THINGS NEVER MEET.

The source of this proverb is looking at something that is good or beautiful. Good things are the ones that give pleasure to people. These good things do not always come at once. You can have wealth but fail to have children, having a lot of produce but no water, etc. This is why people say, ‘good things never meet’.

The proverb can be compared to someone who wants to get all good things at once. Such people can be in trouble of traveling in search for good things that can be obtained within the same locality. People who understand the meaning of this proverb can advise them by saying that ‘good things never meet.

The proverb teaches people to take good care of what they have. They don’t have to expect that they will find all good or beautiful things at a go.

Matthew 6:24.

Luke 16:13.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.